Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
KabisaTafuta wa kufanana nae mkuu ,
Tupe ushihuda😂😂Dah nimecheka Kama mazuri .
Haya yalimkuta mwanangu Sheby kidevu hatokaa hasahau
Nope n mahaba tuKawaida tu. Japo kama ulioa kwa kutegemea mseleleko litakukuta tu.
😂😂😂😂😂😂🚶🏽♂️🚶🏽♂️🚶🏽♂️🚶🏽♂️Tena usiombe wakawa watani zangu wahaya utajuta
Nilikua naisubiri hii coment 😂😂😂😂Tena usiombe wakawa watani zangu wahaya utajuta
Kifupi tu mwanaume hutakiwi kuzidiwa chochote na mwanamke hata dhambi inatakiwa umzidi.Nope n mahaba tu
Hawa jamaa wanaweza kukufanya ujute kukosa hela na kuoa ndugu yao .Nilikua naisubiri hii coment 😂😂😂😂
Dogo mmoja dereva wangu wa Bajaj akataka kwenda kuoa kwa hawa watu,hakutaka mbwembwe sijui za magari na nini yeye akachukua kijiweni kwake vijana wenzake kumpa kampan ya kumbebea ndugu zake kwenda ukweni kujitambulisha,Bajaj zilikuwa kama sita hivi.Tena usiombe wakawa watani zangu wahaya utajuta
Ata nin nimzid😝😝Kifupi tu mwanaume hutakiwi kuzidiwa chochote na mwanamke hata dhambi inatakiwa umzidi.
Nawapiga konzi na kohozi sipendag ujinga mm😂😂Hawa jamaa wanaweza kukufanya ujute kukosa hela na kuoa ndugu yao .
Hawana neno tafsida katika kumwambia mtu ,hawashindwi kukuambia Sasa bila ndugu yetu wewe si ungekuwa umekufa na maisha magumu ?