NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti kazini, hawezi chezea hio nafasi.
Ikija kutokea hivi umejiandaaje ?
Kwa waislam najua unaweza ongeza mke ila huku kwengine sasa changamoto zinazidi.
Ikija kutokea hivi umejiandaaje ?
Kwa waislam najua unaweza ongeza mke ila huku kwengine sasa changamoto zinazidi.