Fimbo ya mbali haiuagi nyoka kamwe.Kuna mabinti kibao wanamaliza degree, diploma mpaka masters wapo mtaani huku wakiendelea kuomba ajira maana vigezo wanavyo.
Kuwaoa hawa wanawake kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wame apoly kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana hamu sana na hizi ajira ni kazi sana uhakika ni kwamba ataenda tu hasa kwa akili za wahitimu wengi huona ajira ni bora kuzidi hata mtaji mkubwa.
Ikija kutokea hivi umejiandaaje ?
Kwa waislam najua anaweza ongeza mke ila huku kwengine sasa changamoto zinazidi.
Usioe kazi ndugu, oa Mke Mwema ambaye ni Mcha Mungu, sababu atakuwa na muda wa kulea Watoto ktk njia sahihi kimaadili na pia atakuwa anaupiga mwingi ktk ushauri na uhasibu juu ya maisha yako ya sasa na baadaye kimaendeleo.Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti kazini, hawezi chezea hio nafasi.
Ikija kutokea hivi umejiandaaje ?
Kwa waislam najua unaweza ongeza mke ila huku kwengine sasa changamoto zinazidi.
kiufupi mahusiano yana mitihani mizito sanaFimbo ya mbali haiuagi nyoka kamwe.
Jiandae vizuri kiakili kuchapiwa wakati huo anayemkula Shemeji yetu atakuwa akimpiga makofi kwenye mat@*o yake akimwambia "litukane Jamaa lililokuleta huku uliwe na wajanja kama mimi kuwa ni Bwege" [emoji847]
Tena ni zaidi ya mtihani Ndugu, KIKUBWA kupanga ni KUCHAGUA.kiufupi mahusiano yana mitihani mizito sana
Mbombo ngafuHivi kabla hujaoa ulikuwa unatomba nani acha ujinga eti ni mtihani kadanganye nasarry vile vitoto vidogo acha kutuzingua inamaana yeye ndio wakwanza na wamwisho.
Meaning
Kama ni wa Singinda na mk wake aliajiriwa mkoa wa Kagera basi huyo mke wake kuna mfanyakazi mwenzake nampelekea moto kama mke wakeKuna jamaaa Ana wake 2.
Mke mkubwa ni mwalimu mkuu, kabla ya kumuoa huyu mke wa pili binti alikuwa ndo tumemaliza tu chuo, (Hana ajira).
Mungu si athumani mke wa pili nae baada ya miezi 8 ya kumaliza chuo kaajiriwa Tena kapelekwa mkoa tofauti na mumewe.
Sasa hivi jamaa wake zake wote hakai nao kila mmoja yupo mbali.
Namhurumia sana yule kaka.