Kuoa mwanamke anayekuzid umri ni raha sana

Haya, kujipa moyo kunaruhusiwa.
Unaweza kunipa sifa ya mwanaume aliye olewa?

Au wewe unadhan kuoa mwanamke aliyekuzid umri ndo kuolewa

naomba nijuwe kupitia wewe mwanaume aliyeolewa ni yupi
 
Mungu akujaalie Mkuu.....
Ebu nirishie buku 2 kwanza nigonge ze bingwa hapa...[emoji39] [emoji39]
Ahaaa mkuu haina noma hebu nitumie namba yako ya tigo pesa nikuwezeshe mimi sina shida kabisa
 
Unaweza kunipa sifa ya mwanaume aliye olewa?

Au wewe unadhan kuoa mwanamke aliyekuzid umri ndo kuolewa

naomba nijuwe kupitia wewe mwanaume aliyeolewa ni yupi
Ushaziorodhesha mwenyewe mbona.
 
hahaha
askupangie mtu mwanagu ikiwezekana oa hata bibi cheka.

mwanamke uso ruhusiwa kuoa ni yule wa damu yako tu. na kwa maelezo yako nimeona hauna shida yyte.

ila kama unapenda vi slope tuu hapo uache
Sawa mkuu

Lakin upande wa slope siko kihivyo maana mimi mwenyewe nina biashara zangu naye ana ajira yake
 
Ahahaaaaa umeona sasa nilichokuwa nakwambia hawa mabinti wadogo ni sumu usipompa hela yeye anajua humpend, ona sasa huyo jamaa had anaomba kibuku mbili
Ushimen ukuje ujibu mwenyewe.

Hivyo vibinti ndio vizuri vingekukuza, huyo jimama linakulemaza. Mwanaume wa kweli hakimbii matatizo, anakabiliana nayo.
 
ni vema ungefafanua
ila nimeona jamaa kajitetea kwa ana life lake na mwanamke ana life lake
so nothing is bad there
Mkuu huyo dada mimi mwenyewe nashindwa kumuuelewa aisee yeye anajua kuoa mwanamke anayekuzid umuri ndo kuolewa hajui kuhusu rais wa ufaransa na mke wake

Mimi nimemuomba anipe sifa za kuolewa lakin kakaa kimiya
 
umri ni namba tuu cha msingi muwe na mapenzi ya kweli , hawa wanawake waliozaliwa 1990`s baadhi yao wanakera sana sitak kukumbuka kbs ,na ww kijana usibweteke ukakaa ukala raha siku ukipewa rambo nje utaumia, mapenz muda mwingine hayamuachi mtu salama.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
mh....
 
ahahaaa rambo nje nini

Mkuu mbona tumepanga sema yeye ananyumba zake lakin zina wapangaji

Na hapa tunapoish huwa tunasadizina kulipa kod ya nyumba
 
Mkuu huyo dada mimi mwenyewe nashindwa kumuuelewa aisee yeye anajua kuoa mwanamke anayekuzid umuri ndo kuolewa hajui kuhusu rais wa ufaransa na mke wake

Mimi nimemuomba anipe sifa za kuolewa lakin kakaa kimiya
ngoja atakuja kututolea ufafanuz tutamskia ana semaj
ila kama ana dhani kupishana umri moja kwa moja ni slope hapo sasa ako wrong
 
Ushimen ukuje ujibu mwenyewe.

Hivyo vibinti ndio vizuri vingekukuza, huyo jimama linakulemaza. Mwanaume wa kweli hakimbii matatizo, anakabiliana nayo.
Aisee mbona wewe unaruka ruka tu matatizo yap nimekimbia hebu yaweke hapa
 
Mukuu... JF nzma nadhan tupo me n ww tu, sasa tuunde chama letu kam vp, au unaonaje mukuu?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…