Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo nae alikuwa binti kabla hajawa mmama kumbuka.Siyo kweli vibint vingi ndo vinaongoza kwa ngoma sababu ya tamaa zisizo kuwa na maana
Ushaziorodhesha mwenyewe mbona.Unaweza kunipa sifa ya mwanaume aliye olewa?
Au wewe unadhan kuoa mwanamke aliyekuzid umri ndo kuolewa
naomba nijuwe kupitia wewe mwanaume aliyeolewa ni yupi
Ahahaaaaa umeona sasa nilichokuwa nakwambia hawa mabinti wadogo ni sumu usipompa hela yeye anajua humpend, ona sasa huyo jamaa had anaomba kibuku mbili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
miss chagga ashakupururua zote hadi umekuja kuomba assist!!
Sawa mkuuhahaha
askupangie mtu mwanagu ikiwezekana oa hata bibi cheka.
mwanamke uso ruhusiwa kuoa ni yule wa damu yako tu. na kwa maelezo yako nimeona hauna shida yyte.
ila kama unapenda vi slope tuu hapo uache
Ushimen ukuje ujibu mwenyewe.Ahahaaaaa umeona sasa nilichokuwa nakwambia hawa mabinti wadogo ni sumu usipompa hela yeye anajua humpend, ona sasa huyo jamaa had anaomba kibuku mbili
Mkuu huyo dada mimi mwenyewe nashindwa kumuuelewa aisee yeye anajua kuoa mwanamke anayekuzid umuri ndo kuolewa hajui kuhusu rais wa ufaransa na mke wakeni vema ungefafanua
ila nimeona jamaa kajitetea kwa ana life lake na mwanamke ana life lake
so nothing is bad there
mh....Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Katika raha kubwa ambazo shawahi kukutana nazo ni pamoja na hii ya kuoa mwana mke anayenizid miaka yaan ni raha sana masela wangu
Kwanza anajiendesha mwenyewe pasipo shulut
Anajua unataka nini kwq wakati gan
Pia anajua huu mda ni wa nini
Pia wanajua kutuliza ile mbaaya
Pia wanajua kupenda ile mbaya
Pia wanaridhika hata njaa wanalaa
Pia hawana tamaa kabisa hata kidogo
Mda wa kupeana mautamu utapenda mwenyewe yaan ni furaha iliyozid utamu
Mimi saiv sitaki dogo dogo wenzangu nakomaa na jimaa langu ingawa na miaka 24 na lenyewe liko kwenye 30 na zaid huko
Wadogo wanasumbua sana kwaherin nishawapa mkono wa kher
LONDON BABY
Shauri yko na ubishi wakoSiyo kweli vibint vingi ndo vinaongoza kwa ngoma sababu ya tamaa zisizo kuwa na maana
Pamoja comrade....Hahahaaaaaa!!!!
Usiku mwema.
kama ni hivo hakuna shda shida mzeeiyaaSawa mkuu
Lakin upande wa slope siko kihivyo maana mimi mwenyewe nina biashara zangu naye ana ajira yake
ahahaaa rambo nje niniumri ni namba tuu cha msingi muwe na mapenzi ya kweli , hawa wanawake waliozaliwa 1990`s baadhi yao wanakera sana sitak kukumbuka kbs ,na ww kijana usibweteke ukakaa ukala raha siku ukipewa rambo nje utaumia, mapenz muda mwingine hayamuachi mtu salama.
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
ngoja atakuja kututolea ufafanuz tutamskia ana semajMkuu huyo dada mimi mwenyewe nashindwa kumuuelewa aisee yeye anajua kuoa mwanamke anayekuzid umuri ndo kuolewa hajui kuhusu rais wa ufaransa na mke wake
Mimi nimemuomba anipe sifa za kuolewa lakin kakaa kimiya
Mukuu... JF nzma nadhan tupo me n ww tu, sasa tuunde chama letu kam vp, au unaonaje mukuu?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Katika raha kubwa ambazo shawahi kukutana nazo ni pamoja na hii ya kuoa mwana mke anayenizid miaka yaan ni raha sana masela wangu
Kwanza anajiendesha mwenyewe pasipo shulut
Anajua unataka nini kwq wakati gan
Pia anajua huu mda ni wa nini
Pia wanajua kutuliza ile mbaaya
Pia wanajua kupenda ile mbaya
Pia wanaridhika hata njaa wanalaa
Pia hawana tamaa kabisa hata kidogo
Mda wa kupeana mautamu utapenda mwenyewe yaan ni furaha iliyozid utamu
Mimi saiv sitaki dogo dogo wenzangu nakomaa na jimaa langu ingawa na miaka 24 na lenyewe liko kwenye 30 na zaid huko
Wadogo wanasumbua sana kwaherin nishawapa mkono wa kher
LONDON BABY