Kuoa mwanamke anayekuzid umri ni raha sana

ahahaaa rambo nje nini

Mkuu mbona tumepanga sema yeye ananyumba zake lakin zina wapangaji

Na hapa tunapoish huwa tunasadizina kulipa kod ya nyumba
jenga nyumba yako hata kama ni room 2 tuu uhamie nae alafu umuoe kabisa kwa ndoa

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Mukuu... JF nzma nadhan tupo me n ww tu, sasa tuunde chama letu kam vp, au unaonaje mukuu?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ahaaa sawa mkuu naunga mkono hoja kama vp tulianzishe
 
ngoja atakuja kututolea ufafanuz tutamskia ana semaj
ila kama ana dhani kupishana umri moja kwa moja ni slope hapo sasa ako wrong
Hana ufafanuz huyo mkuu hajui chochote kuhusu hii maada ndo maana aruka ruka tu
 
jenga nyumba yako hata kama ni room 2 tuu uhamie nae alafu umuoe kabisa kwa ndoa

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Niko najenga mkuu lakin siyo room mbili ni kubwa tu lakin haijakamilika
 
usipende kulelewa ndugu pambana, fanya kazi.....ila usisahau kuwa kinachokufurahisha wewe mwingine kinaweza kikamliza....muombe MUNGU yasikukute
Nani kakwambia kwamba ukiwa n mwanamke alekuzd umri ni unalelewa n unakuwa hufanyi kaz? Wacha fikra potofu, kam hvyo ndivyo akili yako inavokutuma bs pole sana mukuu....

Nna shaka n upeo wako wa kufikiri ktk swala kam ili n hatimae unapelekea upotoshaji usokuwa n tija! Kwa mara nyngine nakupa pole sana.... Kam ww huwez kuwa ktk hali kam hii mukuu its betta you stay quite away 4rm this instead of kuropoka mukuu...

Bnafs (30) naish n mwanamke mwenye miaka 42 kwa sasa n soon tunapata mtoto wa pili, ana kibarua chake the same to me.... Wote tunapambana kusaka mkate tho changamoto ktk maisha kiujumla zpo ila ni za kawaida munoo mukuu!

In brief, naenjoy sana n uyu mwanamke coz sote tu wawazi kwa kila m1, uhuru upo, ni kiongoz mzur kwangu nae pia angali akiniheshimu ktk yote.... Amenifanya niitwe baba, n mengine mengi tu mazur mukuu tho mabaya yapo pia n ni kwa wote... bt ni mistakes za kawaida ambazo kibinaadam zpo, n hakuna mkamilif dunian....
So, Yaan naendana nae munooo!

Thus please, usipotoshee umma kwa izo kauli zako, chunga sana mukuu.... Kam ww yalikushinda its betta you stay quite out of this, n kam hutojali ukahitaji waweza jifunza kwa walofanikiwa,

pole kwa mara ya 3 [emoji4]

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Unapenda kulelewa siyo?
Ungekuwa ulishajizalia watoto idadi uitakayo, halafu uangukie penzi la jimama nisingekulaumu.
Pia kibaiolojia inaeleza kabisa kwamba mwanamke kwenye masuala ya uzazi ni nini hutokea kwenye mfumo wake wa uzazi akiishafikisha umri wa miaka 47-57. Kwa mwanaume mwenye malengo ya uzazi na kujenga familia yenye malengo, ni ujuha kuoa mwanamke aliyekuzidi umri hata wa mwaka m1.
Chukulia wewe 24, af'yeye 34, tofauti 10.
Atakapofikisha miaka 47 ya "ukomo" wa mambo ya kinamama, wewe utakuwa na 34 kijana mbichi.
Akiishafikia "ukomo" atakataa na kuyachukia "mambo" yako yote, wakati wewe bado "kinda" na bado "unadai"
Utakubaliana "kupadrishwa" ama "utatoka"?
Sasa adha yote ya nini wakati uwezo wa chaguo sahihi unao? Ama unaongelea hawara yako?
Halafu ulianzaje kumtongoza mama yako mdogo, au uliunganishiwa?
Maana lazima uanze na shikamoo, halafu sijui ninashida mama!
Akikuuliza shida gani, hapo unajitoa ufahamu unajibu.nna....higk..higk...nnaku....kupenda.
Anakuuliza, hivi we mtoto usiye adabu umethubutuje kuntamkia maneno hayo wakati unaelewa kabisa nina watoto zangu size yako wanaokufaa kuoa, umewaza nini lkn?
Unamjibu nini.
Ebw eeh nisikukandamize sana, saazingine kinamama wa kileo ndiyo zao kutafuta watoto wadogo kwa ajili ya kuwalea. Uamzi ni wako, maisha ni yako pia.
 
siku hizi watoto wengi wa kiume wa kibongo wanapenda vi slope.

japo huyu jamaa sjaona shida kwenye kitu chochote alicho ongea nahis yuko on point tu, nothing mbaya hapo.
Mukuu Iceman 3D upo sahihi kuhusu wanaopenda vislope, ndiyo nakili wapo... Wengine siyo hivyo tupo,

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Jidanganye tu ao viumbe ata akuzid miaka mia uwe nae Stress hazikwepeki usijidanganye
 
Mukuu Iceman 3D upo sahihi kuhusu wanaopenda vislope, ndiyo nakili wapo... Wengine siyo hivyo tupo,

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
yes wala uspate shda
kama unamkibali alo kuzid umri we endelea tu.
 
yes wala uspate shda
kama unamkibali alo kuzid umri we endelea tu.
Haya maisha mukuu ckuiz no complications at al.... We just use to hit str8 on the main key point.... and that is "maridhiano" baina ya pande zte, ivo tu bs....

Ila sasa watu n kauli zao, kichefu chefu samtymz! Coz ni kukatishana tamaa pacpo n mcng wwte, cjui hawapend kuona wenzao wanafanikiwa au vp....
Midomo yetu hii waqt mwngne.... dohhh

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mpende tu wala sio jimama mambo haya yalianza enzi hizo mapenzi sio umri mtume na bi Hadija

sent from vote for Magufuli 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…