Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
[emoji120] ahsante nashukuruWewe ulikuwa unafaa sana tatizi una unatumiguu twenye milonjo sana kama sipoku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] ahsante nashukuruWewe ulikuwa unafaa sana tatizi una unatumiguu twenye milonjo sana kama sipoku
jenga nyumba yako hata kama ni room 2 tuu uhamie nae alafu umuoe kabisa kwa ndoaahahaaa rambo nje nini
Mkuu mbona tumepanga sema yeye ananyumba zake lakin zina wapangaji
Na hapa tunapoish huwa tunasadizina kulipa kod ya nyumba
Jisome tu utaziona.Aisee mbona wewe unaruka ruka tu matatizo yap nimekimbia hebu yaweke hapa
Nimeshazioloshesha ni zipi sasa
Wewe ni mchokoz tu huna lolote
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hana ufafanuz huyo mkuu hajui chochote kuhusu hii maada ndo maana aruka ruka tu
Nani kakwambia kwamba ukiwa n mwanamke alekuzd umri ni unalelewa n unakuwa hufanyi kaz? Wacha fikra potofu, kam hvyo ndivyo akili yako inavokutuma bs pole sana mukuu....usipende kulelewa ndugu pambana, fanya kazi.....ila usisahau kuwa kinachokufurahisha wewe mwingine kinaweza kikamliza....muombe MUNGU yasikukute
Mukuu Iceman 3D upo sahihi kuhusu wanaopenda vislope, ndiyo nakili wapo... Wengine siyo hivyo tupo,siku hizi watoto wengi wa kiume wa kibongo wanapenda vi slope.
japo huyu jamaa sjaona shida kwenye kitu chochote alicho ongea nahis yuko on point tu, nothing mbaya hapo.
yes wala uspate shdaMukuu Iceman 3D upo sahihi kuhusu wanaopenda vislope, ndiyo nakili wapo... Wengine siyo hivyo tupo,
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Haya maisha mukuu ckuiz no complications at al.... We just use to hit str8 on the main key point.... and that is "maridhiano" baina ya pande zte, ivo tu bs....yes wala uspate shda
kama unamkibali alo kuzid umri we endelea tu.