Kuoa mwanamke anayekuzid umri ni raha sana

Mkuu kuna watu sijui hawajielewi wao wanadhan kuwa na mwanamke mwenye umri mkubwa ndo kulelewa hawajui hata wachangie kitu gan zaid ya kashifa
 
hahaha
ukiwa una waangalia walimwengu, mkubwa hauta fika, ukiona huyo sista kakukubali mwenyewe nyie endeleni na maisha
anasemwa Raia, sembuse siye watu tuu!
we endelea tuu
 
huyu kwa kazi anayofanya na akili yake ilivyo demu mwenye akili timamu asingemkubali...., acha achukuliwe yeye tu....
Mkuu mbona unakisoe adabu kaz yangu kaz ip na akili zangu ni akili gan hebu nambie au unanitafutia ban
 
Umetisha kula [emoji109] .

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
usipende kulelewa ndugu pambana, fanya kazi.....ila usisahau kuwa kinachokufurahisha wewe mwingine kinaweza kikamliza....muombe MUNGU yasikukute
Sidhan kama jamaa amemention KITONGA hebu rudia kusoma,yeye ametoa sifa za wanawake waliomzidi umri na moja wapo kasema wanauwezo wa kulala na njaa.
But hajasema wanalea kifedha,HEBU SOMA TENA [emoji118][emoji117][emoji115]
 
Mpende tu wala sio jimama mambo haya yalianza enzi hizo mapenzi sio umri mtume na bi Hadija

sent from vote for Magufuli 2020
Balikiwa sana kumbe had mtume wa mwenyez mungu naye alifanya kama mimi sasa mbona hawa wanadamu wananisimanga sana utazan nimevunja sheria za nchi
 
Mkuu umeandika vitu vingi na vizur sana pia unaonesha woga flan wa kuanza kutongoza wadada wakubwa labda tu nikwambie mapenz ni upepo na hisia kwahiyo nami huyo ndo upepo ulivuma kuelekea kwake na hisia zikawa juu yake

Kuhusu swala la watoto mimi nina mtoto mmoja wa nje naye pia ana mtoto mmoja wa nje ana kama miaka 6 hiv lakin saiv pia ana mimba yangu mwez wa kumi na mbili atajifungua

Kwahiyo usiogope pia mimi sijaolewa mimi ndo nimemuoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee naona counter attack

May Allah bless Me and You
 
Umeamua kuishi hivyo mkuu maisha yote...uko vizuri
 
Ila usioe aliyemzidi mzazi wako umri! Yani mama mzazi ndio anampa shikamoo mkamwana loh[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Ladies gets old faster than men....
So expect to marry another woman soon...
Nature of human being.. Even when u refer from holy words old men marry young women.
Uwezi kupingana na nature mkuu
 

Ukija kupata kubwa jinga pia Usisahau kuleta mrejesho kwa wana bodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…