Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Pole sana mkuu upo kwenye mtego. Una wanawake wawili. Mmoja bikra ila sio mzuri. Mwingine mzuri ila sio bikra. Sasa unaamua kujipa moyo uchague bikra ambaye sio mzuri ila bado inakuuma kuacha mzuri ambaye sio bikra.
Bikra haina kazi yeyote siku hizi. Oa mke mwenye hofu ya Mungu na mwenye akili ya maisha.
Uzuri wa mwanamke ni tabia njema,Na mojawapo ya tabia njema ni kujitunza
 
Back
Top Bottom