Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkono my dearTumeshazichoka hizi mada, tafuta bikira lako uoe, asa unamwambia nani?
Nawaambia vijana wenzangu waamke waache kuweka dustbin ndani.Tumeshazichoka hizi mada, tafuta bikira lako uoe, asa unamwambia nani?
Una uhakika baba yako hakuishi na dustbin ukapatikana weweNawaambia vijana wenzangu waamke waache kuweka dustbin ndani.
Kama wewe ulishindwa kuitunza hadi akaitoa mumeo basi sio kwamba wanawake wote watashindwa wewe ndo umeshaanguka pole sana amka songa mbele na kifurushi chako.nenda Iraq kaoe binti wa miaka 9.
Doesn’t matter, Lets talk now sivyo basi na mimi ningekuwa dust ningekuwa regular kama hao ambao wanabeba beba tu hovyo ila kama nimejua thamani yangu mean hata kama baba aliishi na dust bin basi tressure iliangukiamo humo kwenye dustbinUna uhakika baba yako hakuishi na dustbin ukapatikana wewe
😁😁😁 Mzee ufahamu wangu ulishavuka huko.Nyie ndiyo mnauaaga wake zenu baada ya kumegewa.
Do not take so seriously ivo vitu.
Haha, Read Again.Usiku huu Mambo ya bikra??, mh we Ume gongewa na si mayai 😂 😂
Simply you conclude baba yako aliishi na dustbin sio?, yeye hakujipenda as you put it..? Sijaona kwa nini unatafuta validation humu, tafuta bikira lako uoe usitusumbue humu....kama ni dustbin dada zako, shangazi zako, mama yako yote inawezekana ni dustbin as you put it, ungefikiria hili wala usingejaribu ku degrade dada za watu...Doesn’t matter, Lets talk now sivyo basi na mimi ningekuwa dust ningekuwa regular kama hao ambao wanabeba beba tu hovyo ila kama nimejua thamani yangu mean hata kama baba aliishi na dust bin basi tressure iliangukiamo humo kwenye dustbin
Point hapa sio umezaa nini, Point ni wewe upo kwenye hali gani.
Sikiliza nikuambie kitu… Siku zote jifunze kukubali kukosea utajifunza kuwa na hekima… Tatizo la mimi kutokupenda convo battle na ladies ni kwamba you people mnatumia hisia nyingi ufahamu kichele…. always hampendi kukubali makosa na always mnapenda excuse na kutafuta pa kuangushia lawama na kujifichia maovu yenu , Mimi sijaongelea wazazi maana haijalishi baba yako na mama yako au aunti zako au wajomba zako au dada zako wapo katika hali gani au walikuwa kwenye hali gani mimi najiongelea mimi na ambao wana nafasi kama mimi, Unachojaribu kukiongea hapa ni kutaka mimi nisiukemee au kuusema umasikini vibaya kisa eti wazazi au watu wangu wa karibu ni masikini that’s poor thinkingSimply you conclude baba yako aliishi na dustbin sio?, yeye hakujipenda as you put it..? Sijaona kwa nini unatafuta validation humu, tafuta bikira lako uoe usitusumbue humu....kama ni dustbin dada zako, shangazi zako, mama yako yote inawezekana ni dustbin as you put it, ungefikiria hili wala usingejaribu ku degrade dada za watu...
Unajiongelea wewe ila unajisahau hauishi in a vacuum, wewe ni product ya wanaokuzunguka, tunakukumbusha una mama,shangazi dada etc kabla hujaanza kunyooshea vidole "dustbin " nyingine...and yes ukiongelea vibaya masikini wakati wewe ni masikini tutakuona hypocrite!Sikiliza nikuambie kitu… Siku zote jifunze kukubali kukosea utajifunza kuwa na hekima, Mimi sijaongelea wazazi maana haijalishi baba yako na mama yako au aunti zako au wajomba zako au dada zako wapo katika hali gani au walikuwa kwenye hali gani mimi najiongelea mimi na ambao wana nafasi kama mimi, Unachojaribu kukiongea hapa ni kutaka mimi nisiukemee au kuusema umasikini vibaya kisa eti wazazi au watu wangu wa karibu ni masikini that’s poor thinking
Unamuambia nani sasa?Ukimkuta hana muulize aliitolea wapi. Akuelekeze hadi huyo mtu aliyemtoa, ili ukikutana naye njiani mheshimiane upite ukijua kuwa huyu mtu ndye aliyemtoa bikra mke wangu.
Vizuri, Sasa na nikiongelea watu wasioe wanawake waliowakuta unsealed na mimi nikawa mmojawapo wa ambao hawataoa mwanamke ambae hana seal unaniona hypocrite pia???Unajiongelea wewe ila unajisahau hauishi in a vacuum, wewe ni product ya wanaokuzunguka, tunakukumbusha una mama,shangazi dada etc kabla hujaanza kunyooshea vidole "dustbin " nyingine...and yes ukiongelea vibaya masikini wakati wewe ni masikini tutakuona hypocrite!