Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Ushauri kwako mleta Uzi
Moja; Never wrestle with a Pig
Mbili; Ignorance a bliss, kwahio mtu anapotaka bikira sio kwamba anaweza kupata au amepata hata ile idea kwamba amepata kwake ndio peace of mind kwa kudhani kwamba yeye ndio alfa na omega..., sasa katika karne hizi za kuweza kutengeneza bikra unaweza kumpa hio peace of mind so long as una uhakika unaweza uka keep that pretense in the future na hakuna bones in the closet au chicken ambazo zinaweza kuja home to roost
www.jamiiforums.com
Tatu: Relationship ni ngumu sana tena sana kwahio ni rahisi sana kama unataka mkae till death do you apart kutafuta mtu anayekupenda sana wewe na kujifunza kumpenda kuliko unayempenda sana wewe na anavijidude ambavyo hamuendani ukadhani unaweza kumbadilisha....
www.jamiiforums.com
Mwisho Kabisa to each their own na ingawa mwanaume wanasema ni kichwa na anapenda kuwa kichwa lakini practically mwanamke anaweza kuwa shingo na akiwa na busara anaweza kumgeuza mwanaume popote anapotaka na maisha yakaenda.... The acme of skill and maturity is to loose battles if you know you are winning the War...

Should you Confess?
If you open your mouth, one of two things happens. She either forgives you or she leaves you. At best, you wind up exactly where you are right now. It's noble to want to confess. Really, it is. But if the result's just damage and pain, that's not noble. That's selfish. House MD: My Two Cents...
Tatu: Relationship ni ngumu sana tena sana kwahio ni rahisi sana kama unataka mkae till death do you apart kutafuta mtu anayekupenda sana wewe na kujifunza kumpenda kuliko unayempenda sana wewe na anavijidude ambavyo hamuendani ukadhani unaweza kumbadilisha....
Being in Love is one Thing; Being Married all Different Animal...
One day you are Married to Your Soulmate then you Watch them turn into Someone Else....; Sometimes you are so in Love with who a Person was, you can't bring yourself to Love who they have become..... Joss Carter POI (Till Death)