Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Acha kunywa ulanzi sasa akili ikae sawaHizo Ni sababu zangu binafsi Mzee wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kunywa ulanzi sasa akili ikae sawaHizo Ni sababu zangu binafsi Mzee wangu
Labda ya gia RMIE BADO BIKRA
Oh oh nilsahau wacha nije sasaBest mbona hukuja 🥺
Wakioa bikra fake unapungukiwa nini?,haya wangapi wanaoa wanawake wasio bikra na wanaishia kulia tu. Acheni kuhalalisha uharamia wenu hapa kwa kutetea tetea ujinga na kujenga hoja za kipuuzi ili kuhalalisha upuuzi wenuAcha kujichanganya inaonekana umekimbilia kutoa comment pasipo kusoma na kuelewa alichoandika mtoa mada..
Fahamu mtoa mada hajaishusha thamani bikira, fahamu pia bikira imeshushwa thamani na wanaume wenyewe..
Fahamu pia mchina alitumia fursa ya kupiga hela kwa kutengeneza bikira feki baada ya kugundua kuwa kuna Me wajinga wanaobikiri hovyo watoto wa kike kisha wanakimbilia kutafuta Ke bikira wa kuwaoa 🤣🤣
Hapo mchina akaingia maabara na kufanya yake... hadi kufikia sasa hao mliowabikiri na kuwakimbia leo mnawasaka kwa udi na uvumba ili muwaoe hao 'mabikira'.
Hoja ya mtoa mada ni kwamba waweza kuoa bikra but usipate furaha maishani yaani ile ndoa isidumu.
Endeleeni kusaka mabikra wa kuoa
Wakioa asiye bikira unapungukiwa nini?Wakioa bikra fake unapungukiwa nini?
Oa tu asiye bikra unayependana naye.. Besides, virginity doesn’t make marriage work. What makes marriage work is selflessness, forgiveness, kindness, patience and commitment.Usikubali kuoa mataka taka.
Lakini hivi ulivyoviandika hapa unakubali kuwa hata bikra anakuwa navyo?Oa tu asiye bikra unayependana naye.. Besides, virginity doesn’t make marriage work. What makes marriage work is selflessness, forgiveness, kindness, patience and commitment.
Nimekupa kile mtoa mada anachokazia, mtazamo wako upo kinyume na mtoa mada..Lakini hivi ulivyoviandika hapa unakubali kuwa hata bikra anakuwa navyo?
Alieondoa Beacon ana uwezo was kuvuruga na kudai uwanja ni wake.Oa tu asiye bikra unayependana naye.. Besides, virginity doesn’t make marriage work. What makes marriage work is selflessness, forgiveness, kindness, patience and commitment.
Wewe kweli hamnazo usikute hamna malezi kwenuKuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokoto."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Wewe bila shaka ni demu asie bikra na hajaolewa unatafuta huruma humuBoss
Asante kwa andiko lina point sana,,ila tuwe wakwel tu, sex peke yake haifanyi ndoa kuwa na furaha
Mtoa mada ana point asikilizwe,kutokuwa mbinafsi,kuvumiliana na kuheshimiana,msamaha ndio mambo muhimu sana katika maisha ya ndoa period
Wewe oa bikira wako halafu awe mjeuri,mbinafsi,hana heshima,hana subira,nakwambia utasahau hata kama ulimuoa na bikira
If wishes were horses, even beggars would ride.binti kiziwi njoo upitie uzi sio kuililia kua nilikubikiri na sikukuoa
So as your mom is a beggerIf wishes were horses, even beggars would ride.
Kaa hapo endelea kuota, Wenzio wako busy na kazi.
Not any woman, Be specific “your woman” we ain’t yours, relax.So as your mom is a begger
Virginity is the biggest loyalty from a woman