Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Hakuna anayekupangia we oa tu, kama hutaki kuoa walitobolewa utakutana na wengine walitobolewa ila waka renew papuchi kwa kununua bikira za dukani..

Ukiwapata hao Ke wajanja wa mjini utarudi hapa kijimwambafu kuwa umeoa Ke bikira ilhali demu hajui hata idadi ya walomkula kabla haja renew papuchi na kuolewa nawe😂😂
Hakuna ke wakunizid akili dunia hii...
 
Usiwatetee waliooa mitumba,acha wapambane na hali zao.

Kama umeoa aliyefumuliwa ni kuwa umeoa mke wa mtu.

Kuvunja bikra ni kuweka agano.
... kama una kibamia na umeoa bikra ni sawa na mtu kushika plot Masaki kwa kujenga chumba na sebule, UTAHAMISHWA TU!
SIJUI CODE IMEINGIA!!? 🤣
 
Boss

Asante kwa andiko lina point sana,,ila tuwe wakwel tu, sex peke yake haifanyi ndoa kuwa na furaha

Mtoa mada ana point asikilizwe,kutokuwa mbinafsi,kuvumiliana na kuheshimiana,msamaha ndio mambo muhimu sana katika maisha ya ndoa period

Wewe oa bikira wako halafu awe mjeuri,mbinafsi,hana heshima,hana subira,nakwambia utasahau hata kama ulimuoa na bikira
Ni kwel ilaa mtazamo anao ujenga Kwa vijana ni mbovuuu...... Kwa huo ushaurii akutakiwa kuuweka kwenye uu uzii ....kulingana na mawazo yakee ana waaminisha na kuwapa moyo wadada wafanye sex kwamba watapata wa kuwa oa😂😂...........ndo MAANA NA MIMI NAUNGA MKONO MTOA MADAA UNAUFAHAMU MDOGOO🙏🖐️🫴
 
Halafu wanakuwaga na u-conservative fulani hivi ambao duuh!
Wengine hata swaga za mahaba hawana.
Mindset zao walifundishwa sex ni dhambi kwa hiyo hata kukupa ni kwa mbinde.
Yaani ile akuachie yote ujimwage mmm!
Wengine wana visirani na minuno haieleweki.
 
Hakuna anayekupangia we oa tu, kama hutaki kuoa walitobolewa utakutana na wengine walitobolewa ila waka renew papuchi kwa kununua bikira za dukani..

Ukiwapata hao Ke wajanja wa mjini utarudi hapa kijimwambafu kuwa umeoa Ke bikira ilhali demu hajui hata idadi ya walomkula kabla haja renew papuchi na kuolewa nawe😂😂
Mbona unapambana na kila anayepinga andiko?, Kwani si tumekubaliana kwenye kuoa ni hiyari ya mtu?, anayetaka bikra aachwe atimize hitaji lake la moyo hata kama itakuwa ya mchina kikubwa kafata moyo wake wewe shida yako ipo wapi hapo?,.Kupanga ni kuchagua kama mimi na wewe tulioa used tusishinikize ionekane kwamba sisi ndo tumepatia kuliko anayetaka/aliyeoa bikra wakati ndio hata mafundisho yanatutaka tuoe wanawake waliojitunza. Usitake kutuaminisha kwamba mwanamke bikra anakosa sifa zingine ambazo mtoa mada ameziorodhesha kwenye mada yake.Acha vijana watafute bikra bhn hayo mambo ya mchina itategemeana na umakini wa mtafutaji asipokuwa makini atkutana na mchina na akiwa makini atalamba dume. Tusiwavunje moyo vijana na kuwapa kiburi watoto wa kike kujiachia tu wakijua bikra sio issue tena kumbe bikra haijawahi kushuka thamani na haitakuja kushuka thamani.
 
Asante sana mkuu🙏
 
Nakataa
Nina ushahidi na point ya jamaa.
Hata mimi nina ushahidi pia mwanamke anasikia raha ni pale akipata mtu anaye mkojolesha huyo ndio anacess zaidi hata kama huyo mwanamke ataolewa na mwingine but huyo jamaa akitaka capuchi atapewa
 
Tusiwavunje moyo vijana na kuwapa kiburi watoto wa kike kujiachia tu wakijua bikra sio issue tena kumbe bikra haijawahi kushuka thamani na haitakuja kushuka thamani.
Acha kujichanganya inaonekana umekimbilia kutoa comment pasipo kusoma na kuelewa alichoandika mtoa mada..

Fahamu mtoa mada hajaishusha thamani bikira, fahamu pia bikira imeshushwa thamani na wanaume wenyewe..

Fahamu pia mchina alitumia fursa ya kupiga hela kwa kutengeneza bikira feki baada ya kugundua kuwa kuna Me wajinga wanaobikiri hovyo watoto wa kike kisha wanakimbilia kutafuta Ke bikira wa kuwaoa 🤣🤣

Hapo mchina akaingia maabara na kufanya yake... hadi kufikia sasa hao mliowabikiri na kuwakimbia leo mnawasaka kwa udi na uvumba ili muwaoe hao 'mabikira'.

Hoja ya mtoa mada ni kwamba waweza kuoa bikra but usipate furaha maishani yaani ile ndoa isidumu.

Endeleeni kusaka mabikra wa kuoa
 
Back
Top Bottom