Pole sana mkuu upo kwenye mtego. Una wanawake wawili. Mmoja bikra ila sio mzuri. Mwingine mzuri ila sio bikra. Sasa unaamua kujipa moyo uchague bikra ambaye sio mzuri ila bado inakuuma kuacha mzuri ambaye sio bikra.
Bikra haina kazi yeyote siku hizi. Oa mke mwenye hofu ya Mungu na mwenye akili ya maisha.