Kuoa mwanamke masikini


Mnabaki wote kwenye familia hamna mwenye connection, hamna mwenye hela, hamna staa, yaani ni shida kwa kwenda mbele, Me naona suluhisho sio kulikimbia changamoto, ni namna gani tutakabiliana nalo. Japo hakuna kazi ngumu kama kumuuelimisha maskini maana ushamkolea, ule ugonjwa ni mbaya sana wakuu. Namna sahihi zaidi ni kuwaelimisha watoto, huko kwa ndugu, na jamaa tuwape uelewa watoto.
 
Anayetakiwa kuwa tajiri wa mali ni mwanaume, mwanamke akishakuwa pisi kali huo ni utajiri tosha.
U-pisi kali ni wa kitambo kidogo tu!! na baada ya hapo maisha inabidi yaendelee!! Kwenye kuoa inabidi kuangalia mbele sana!
 
ndo maana ukikutana na binti wa kizungu utasikia, namhitaji mwanaume mwenye kazi nzuri, mwenye nyumba na anampenda mama'ake.
In Tanzania we become unaeducated after eduction.
Hoja yangu. Kwenye suala la umaskini me naona kama uhusika wa wanawake ni kwa kiasi kidogo sana, sisi ndo tunawahitaji watupe maburudani, na watuzalie watoto, ni kweli tunawahitaji mama bora na ambaye ana akili timamu, Wao wakijiheshimu wanaweza wakawa walimu bora wa vizazi vya koo zetu sisi wanaume.Wanaume wote tungefanya kazi bidii, umasikini ungetoweka duniani.Women are always there just like flowers.
 
Hayo ya baadaye ni ajali na inaeleweka na inavumilika. Lakini siyo kubeba mzigo from day 1, kaaaa!!!
 
Unakunywa soda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…