Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Yani kama kuna kitu huwa hakinishuhulishi huwa ni sex,ingekua hiari yangu niache kabisa sema ndo hivyo tena ukishaolewa huna namna inabidi utembee na biti[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mimi ni wale mwanaume hata asafiri mwaka sihangaiki na mwingine atanikuta kama alivyoniacha!
Hongera sana dada umejitambua mapema na mwanamke yeyote anapaswa kuiga kutoka kwako.
 
Yani kama kuna kitu huwa hakinishuhulishi huwa ni sex,ingekua hiari yangu niache kabisa sema ndo hivyo tena ukishaolewa huna namna inabidi utembee na biti[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mimi ni wale mwanaume hata asafiri mwaka sihangaiki na mwingine atanikuta kama alivyoniacha!
Kuna wakati mwingine nyege ni kujiendekeza tu lakini uwezo wa jinsia zote kujizuia hata mwaka upo.
 
Tunakujua Baba G
Sahii,
Ndo maana tukichepuka sio kwamba hatuwapendi.

Bali tunajaribu kufukia Hilo gap,
otherwise tutakua na kesi za ubakaj kwny ndoa Kila Mara, mkeo akikuona anapata presha
 
Back
Top Bottom