kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Mkuu mimi kwenye ile no sijui nini jana tu nilibwaga manyanga baada ya kuona picha ya jimama lina makalio makubwa kule Twitter. [emoji23][emoji23][emoji23]Hamna lolote nia yenu tulipue tu
Tuvunje viapo tulivojiwekea
Anyway simu yangu inazma chaji...