Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Sahii kabisa
Mi ninyime vyote ila sio mbususu

Hata wife huwa namwambia,
"Hata tuwe na ugomvi wee nipe hivyo hivyo umenuna, vidudu havigombani"[emoji23]
🙆🙆🙆🙆Eeeeh eeeeh eeeh amekuja amekuja amekuja 😎😎
 
Hamna lolote nia yenu tulipue tu
Tuvunje viapo tulivojiwekea
Anyway simu yangu inazma chaji...
 
Wahini vituo vya afya mapema[emoji23]
Yani kama kuna kitu huwa hakinishuhulishi huwa ni sex,ingekua hiari yangu niache kabisa sema ndo hivyo tena ukishaolewa huna namna inabidi utembee na biti🤣🤣🤣 ila mimi ni wale mwanaume hata asafiri mwaka sihangaiki na mwingine atanikuta kama alivyoniacha!
 
Back
Top Bottom