Kuoa ni lazima?

Kuoa ni lazima?

Fanya chaguo sahihi kwa kumshilikisha Mungu na utakuwa na ndoa yenye furaha na amani ya moyo.

Bila ndoa unakuwa mpweke aisee kuna raha sana unapokuwa na mtu ambae si ndugu anayekujali kwa mapenzi yake tu kwako ambae anapata waswas ukiumwa au ukiwa ktk hatari.

Mungu hakuwahi kuoa, alitia mimba tu... usimshirikishe kwenye mambo ya kijinga.
 
Shida gani mfano ambayo unaweza kuipata ndugu wa damu wakakukimbia lakini mke akawa na wewe?
Ugua ukichaa au kuwa mlemavu ndo utagundua huna ndugu. Wanafika mahali wana choka. Mkeo kama alikupenda hakuchoki hata ujinyee kitandani.
 
Ni ngumu watoto kukukimbia au mke kukutelekeza mbona mengi alivokuwa anaumwa na kulazwa South Africa mke wa ujanani ndo alimumuuguza
Umeamua kusema kinyume etiiiii.
Teh teh teh teh.
Jackline hakuwepo hospital inasemekana lakini alikuwa anajipondea raha na njemba la kidubai hukooo
 
nilazima maana kumbuka umri hausimami lazima tu utazeheka na utahitaji mtu wa kushauriana mawazo na mambo mengine, starehe zitapita
 
Umeamua kusema kinyume etiiiii.
Teh teh teh teh.
Jackline hakuwepo hospital inasemekana lakini alikuwa anajipondea raha na njemba la kidubai hukooo
Huyo kylin alikuwa changu tu, hapa tunasemea mke wa ujana wako, wengi huwauguza waume zao na sio slay queen,kwanza klini baada ya kudaganywa na fake will akaota mapembe
 
Kwa mwanaume utajichengesha lakini mwisho wa siku utaoa tu labda uwe na mapungufu fulani ambapo mwanamke hawezi kuvumilia,kwa upande wa mwanamke kuolewa sio lazima akipata mwanaume wa kumzalisha inatosha atapambana na maisha yake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye jamii iliyostaarabika ni LAZIMA, kwenye jamii chokoraa utatoka majibu uliyosema.
 
Wewe ungejisikiaje kama ungezaliwa alafu unalelewa na baba au mama peke yake?
Psychological inamuathiri mtoto pakubwa na kuna nafasi kubwa ya mtoto kuja kuwa mtu wa ajabuajabu.

Na vilevile kuna asilimia 70% wewe utakuwa umelelewa na mzazi mmoja.
 
Back
Top Bottom