Dah pole tena mkuu japo yameshapita vp alimpa jamaa utamu?
 
Nimekuelewa mkuu
 
Kuna somo hapa bro, naomba ruhusa nije pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
married as single mom and single dad....means watoto niliokuja nao...
Umesema mkeo yupo fair sana na ndiye aliyekushauri vitu vingi vya kufanya juu ya watoto; kwa nini unafanya vitu nyuma ya mgongo wake? (Nimetamani kujua na kujifunza hicho ambacho ulijifunza kwa watu wengine)
 
Kuna singo Mother mmoja alinitongoza yeye mwenyewe kipind nikiwa na mgogoro mzito na wife.

Wife nimempumzisha nmerudisha Kwao naishi singo.

Nkaona sio kesi, hebu nimkubalie tu nipate pa kupunguzia stress.

Siku ya Kwanza TU nmekula mzigo, kesho yk ananpigia sim mwanae kalazwa aghakan.

Nmefika TU, kanilengesha bill kwa wahudumu
"Baba Mtoto ndo uyu hapa keshafika"
Wahudumu wananikabidhi bill.

NKAONA SIO KESI, nkalipa yote tukaondoka.

Siku ya nyingine, nkala mzigo.
Kesho yake ananipigia
"ukitoka kazini naomba lift, Sina nauli nmemleta mwanangu shule"

Kufika tu eneo la shule, ananambia Mtoto anadaiwa ada na isipolipwa yote Mtoto anarudishwa nyumbn.

Nkamwabia wasiliana na baba ake, akasema hawez kumtafuta maana aliikataa mimba.

Nkasema isiwe kesi, NTACHANGIA NUSU YA ADA,ILIYOBAKI UTACHANGIA MAANA UWEZO UNAO.

Akakubali kishingo upande.

Nkalipa cash nusu Deni, kwa sharti Mtoto aendelee kusoma nyingine baadae.


Baada ya hapo akaanza sarakasi, kutoa mzgo ikaanza kua mbinde,

Vijimaneno vya hapa na pale vikaanza
"Siamini Kama unanipenda, wanao wanasoma shule za gharama ila mwanangu shule ya kawaida tu afu Ada unalipa pungufu"

NKAONA MPUUZI UYU, Fadhila ameifanya imekua wajibu.

NKAONA ISIWE KESI, nkamkatia kabisa Mawasiliano.

Alipoona Nmemkatia Mawasiliano, akaanza kujileta leta leta nyumban majiran wajue ndo natoka nae.

NKAONA ASINILETEE KIWINGU UYU, nkamrudisha Mama watoto kabisa nyumban.

NA NDO UKAWA MWISHO WA MCHEPUKO ULE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wife ulizinguana nae nini?huyo mtoto alikuwa anaumwa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi huyo sm mpaka nimepatwa na hasira
 
Umesema mkeo yupo fair sana na ndiye aliyekushauri vitu vingi vya kufanya juu ya watoto; kwa nini unafanya vitu nyuma ya mgongo wake? (Nimetamani kujua na kujifunza hicho ambacho ulijifunza kwa watu wengine)
karibu.... kwa nini unafanya vitu nyuma ya mgongo wake? Yes, I only trust mama yangu, baba nampenda sana...we meet wakati kila mmoja ana wanae....najua iko siku Mungu atatupa wetu...but hili kwetu sio tatizo kabisa...we really happy 98%...the remaining 2% ni chokochoko za hapa na pale...we understand......

(Nimetamani kujua na kujifunza hicho ambacho ulijifunza kwa watu wengine)----- binamu yangu (we grow pamoja kwetu) my anko kid, alizaa na msichana ambae hawakubahatika kuoana, but walikuwa wameishi for long,,, waliachana, watoto akabaki nao.......yes life goes on....he meet a cute one falling mahabani....vikaovikachukua mkondo ndoano hiyooo......tulikuwa friend sana..we had a lots of things hidden....kuna mahali tulinunua shamba pamoja na tulijenga but kila mmoja kivyake........

na tuliwekeana mipaka ndani kwa ndani.... wakati ameoa nikamwambia....kaanze upya hii nyumba iwe ya vijana hao wanakua......hakusema kitu,,,mtoto wa 1, wa 2, wa 3.......five kids in total....at the age of 40's....bibie akaanza kuwatenga watoto wa jamaa.....blabla mingi....mie nikauza nyumba yangu, nikabakisha eneo nikajenga vinyumba 4 vinavyojitegemea na kupangisha......

sasa jamaa alimwambia mkewe pale pote pake......huwezi amini...nilishtakiwa mpaka mahakamani,,, bahati nlikuwa nna hati kitambo...niliwaacha waliwe pesa na mahakama kwanza....binamu akaiba ofcn,,, kibarua nje.....mkewe ana kazi nzuri tuu....cha kwanza sitaki kabisa hawa watoto wa mwalaya wako (nimenukuu)...kwa kifupi iliniumiza sana...watoto hawana kosa....jamaa ni ndugu yangu kabisa..... ila mateso anayopitia to day...wanawake ni hatari...this time simshauri chochote... tukikutana ntampa mma wa kutosha....off we go.....nilijifunza hapa......wa pili........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…