Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Mwanaume aliyemzalisha single mother si sawa na Ex ambaye hakumzalisha. Huyu single mother kila akimuona mtoto wake anamkumbuka na aliyemzalisha.

Kwahiyo acheni kumlinganisha ex na mzazi mwenza. Mzazi mwenza anaishi muda wote na masaa yote katika akili na moyo wa huyu single mother.

Wewe ukiamua kujilipua, jilipue tu.
 
Huyu bwenge anamaindi nikituma chochote kwa mwanangu wakati mwanae anakula vyangu hapa

Nashindwa kumuacha sababu Nina sababu ya kushindwa kufanya hivyo hali inayonifanya niishi kwa mawazo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba wa mwanae je? Anatuma chochote? Najua atakuwa anatuma ila mama yake hawezi kukuambia... Cha msingi ni hivi mkuu uwe unatuma kimya kimya kwanini umjulishe kwanza
 
Tatizo la single mamaz...wanaoenda kuwatreat wana kama watoto wao...halafu they are overprotective kwa watoto wao...utazani wameambiwa wewe ni mtoa roho...

Utawasikia ooohh mapenzi ni mimi na wewe huyu mtoto hata hakuhusu...halafu ukicheki kipindi hicho wewe wapo kwako....

OVAAAA
 
Uzi wa wavulana wanao balehe ili wajione wavulana lazima wazalilishe wanawake. Kwa dunia ya Sasa watu wanazaa hovyo bila ndoa si wanawake Wala wanaume ni janga, Tena nyie wanaume kila mtaa na mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mama Cariha, kati ya mwanamke na mwanauume ni yupi anashuka thamani mara tu baada ya kupata mtoto nje ya ndoa.
 
Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).

[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!

Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.

kauli zake zilikua kama :-

1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)

2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake

3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)

4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!

Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.

Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu yangu.

Nakumbuka mengi sana niliyomtendea ili kumfariji na kumpenda kisawasawa hadi kila mtu alijua ningemuoa yeye. Na kila mtu alijua mimi ndiye mume mtarajiwa kwake.

Niliwahudumia yeye na mwanaye hadi akanambia upendo wangu kwa mtoto wake ni zaidi ya kila mtu.

Sitaki kueleza alichonikosea! Hasa baada ya ujio wa baba wa mtoto wake! Ila ndipo upendo wangu kwake ulipoanza kushuka.

Siku moja nilimpiga hadi nikajua nimeua labda. Nilimuadhibu hadi akazimia, na kila alipokuwa anakwenda kujisaidia alitokwa na damu kama siku 3. Ilikuwa kichapo heavy.

Ndugu zake na baba zake wadogo walipotaka kwenda Police kunifungulia kesi, akawaambia wasiende na hataki wanishtaki. Na akasema hawezi kutoa ushahidi wowote kunihusu, maana japokuwa nimempiga ila bado ananipenda sana! Wakaishiwa pozi!

Ni miaka 4 sasa toka tulipoachana but hajaolewa na ni binti mzuri na mrembo kabalikiwa umbo na sura. Na kila mara anasema hatopata kama nilivyompenda! Nampa moyo tu. Ila ninapokwenda Unyamwezini huwa tunakumbushia.

So, hawa viumbe wenzetu wanajisahau sana. Ila hukumbuka wakati time imeshapita. Na kujutia pia. Ila ni dada zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).

[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!

Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.

kauli zake zilikua kama :-

1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)

2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake

3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)

4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!

Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.

Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumwambia mtoto wake mbele yako * mi ndio Baba mi ndio mama"
 
Uhuru ni hali ya kutokuishi na hofu katika jambo flani. Mfano" umempenda single mother ila huwezi kuwa nae sababu una hofu atagongwa na mzazi mwenzake.

Kwenye mapenzi Ukiwa huru, kugongewa haiwezi kuwa hofu kwako. Uwe una mpenzi bikra au mwenye watoto hutakaa ukiwaza kugongewa maana unajiamini na ikitokea utapima madhara na utajua nn cha kufanya kama ni kumuacha au la. Binadamu tupo tofauti na hofu zinatofautiana.

Mfano Ccm iliingiwa hofu na nwenendo wa kachero ikamtimua. Ni hofu tu si kingine, angeweza akaachwa na asiwe na madhara ila hofu ya kuleta madhara chamani ikasababisha atimuliwe.
got you ukiishi hivyo unakuwa huna stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom