Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Yap mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap mkuu
ukaamua ule kona hahaha[emoji2][emoji2][emoji2]Nilitokea kumuelewa huyu binti hata kama ni singo maza, Ila imepita siku moja tokea nimtongeze na akaanza yake
" Mtoto leo ucku ataki ugali anataka chips ukija kunisalimia uje na chips. Nikamjibu ninazalula leo sitafika.
Ikawa anapenda kuniomba ela sana nikaona ni quit.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha[emoji2][emoji2], ilikuwaje ukaachana na huyo single mother wako?
haikuwa kirahisi kivipi?Mie nilikuwa nikimpigia simu akimpa mtoto simu anamwambia msalimie mjomba! Nikaona kama Mimi naitwa uncle kuna anaeitwa baba! Nikajikata ingawa haikuwa rahisi Sana kuvunja mahusiano
single dad ndo anahudumia familia.aliyekodi ngoma ndo anaamua wimbo gani uchezweKwahiyo single dad wapo vizuri sana? Wake zao hawaumizwi na viporo wanavyo pasha nahuko na wazazi wenzao huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi single mothers wameshawahi kukufanyia mauza uza nini?Kuoa single mother ni sawa na kuonja sumu .
Mimi single mother hata kuwa nae katika mahusiano tu siwezi kwa sasa sembuse kuoa kabisa.
Kwa sasa nikitokea mwanamke swali namba moja ni je ana mtoto kama ikiwa ndio nakata mawasiliano kimya kimya .
Single mother wengi wao ni poison.
Kwa hiyo ukiwa unahudumia familia kupasha kiporo inakuwa sio kosa?single dad ndo anahudumia familia.aliyekodi ngoma ndo anaamua wimbo gani uchezwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah kumbe huyu ndo alifukuza ile ng'ombe. Kama ndo huyu basi alikuwa mtata kweli kwenye uzi wake.
alizingua nini huyo hadi ukampa kichapo nusu kuua?Pole sana ndugu yangu.
Nakumbuka mengi sana niliyomtendea ili kumfariji na kumpenda kisawasawa hadi kila mtu alijua ningemuoa yeye. Na kila mtu alijua mimi ndiye mume mtarajiwa kwake.
Niliwahudumia yeye na mwanaye hadi akanambia upendo wangu kwa mtoto wake ni zaidi ya kila mtu.
Sitaki kueleza alichonikosea! Hasa baada ya ujio wa baba wa mtoto wake! Ila ndipo upendo wangu kwake ulipoanza kushuka.
Siku moja nilimpiga hadi nikajua nimeua labda. Nilimuadhibu hadi akazimia, na kila alipokuwa anakwenda kujisaidia alitokwa na damu kama siku 3. Ilikuwa kichapo heavy.
Ndugu zake na baba zake wadogo walipotaka kwenda Police kunifungulia kesi, akawaambia wasiende na hataki wanishtaki. Na akasema hawezi kutoa ushahidi wowote kunihusu, maana japokuwa nimempiga ila bado ananipenda sana! Wakaishiwa pozi!
Ni miaka 4 sasa toka tulipoachana but hajaolewa na ni binti mzuri na mrembo kabalikiwa umbo na sura. Na kila mara anasema hatopata kama nilivyompenda! Nampa moyo tu. Ila ninapokwenda Unyamwezini huwa tunakumbushia.
So, hawa viumbe wenzetu wanajisahau sana. Ila hukumbuka wakati time imeshapita. Na kujutia pia. Ila ni dada zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mcheza ngoma ndo anaamua wimbo gani uchezwe.unakuwa tegemezi then unampangia mumeo maisha ya kuishi utaratibu wa wapi huoKwa hiyo ukiwa unahudumia familia kupasha kiporo inakuwa sio kosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
inaonekana una uzoefu nao sanaUtakuta upo nae...pengine dogo akazingua kidogo halafu wewe kama mzazi ukamgombeza dogo kidogo..utasikia kitoto kinali na kwenda kwa kama yake...mamy i want dady...shenzy kabisaaa
we jamaa unajua hadi sio PoaUkitaka kufurahia mahusiano, tafuta mtu ambaye anaweza kukupa Faraja na Amani,
usiangalie kuwa ni single mother au vipi,
Unaweza ukawa na single mother na mkaishi kwa Amani na furaha na pia unaweza ukaishi na ambaye ni pure lakini usipate Amani kila siku unaishia kuumia tuu,
Ukiona upo na single mother halafu anakupa kauli usizozipenda jua huyo hamuendani naye muache coz kila unachomfanyia yeye anachukulia kipimo kuanzia kwa Baba Corona,
Hizi issues za kuwa na mahusiano na single mothers zinahitaji moyo wa kipekee na kama haupo committed acha kabisa, mana utaingia kufanya maamuzi magumu kwa kila jambo, utaishia kukonda na kukosa Amani ya moyo, ukifuata na kauli za mtaani "ushawahi ona wapi mechi inaanza 0:1"
Tafuta hela, fanya ibada sana, toa sadaka, jiheshimu na uuheshimu mwili wako maana Mungu anakupa unachoendana nacho "Ukiwa mchezaji utampata aliyechezewa na wenzako"
(MUOMBE MUNGU UPATE MKE MWEMA WA KUKUPA AMANI, FARAJA, NGUVU NA UJASIRI KWA KILA JAMBO)
Sent using Jamii Forums mobile app
utasikia " nitafanya chochote ili mradi mtoto wangu aishi maisha ya furaha "Tatizo la single mamaz...wanaoenda kuwatreat wana kama watoto wao...halafu they are overprotective kwa watoto wao...utazani wameambiwa wewe ni mtoa roho...
Utawasikia ooohh mapenzi ni mimi na wewe huyu mtoto hata hakuhusu...halafu ukicheki kipindi hicho wewe wapo kwako....
OVAAAA
kabla hujamuoa maisha yalikuwaje?Huyu bwenge anamaindi nikituma chochote kwa mwanangu wakati mwanae anakula vyangu hapa
Nashindwa kumuacha sababu Nina sababu ya kushindwa kufanya hivyo hali inayonifanya niishi kwa mawazo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Akili ndogo you can't compare mwanaume huyu na huyo, even kwa utajiri au umasikini, Ulipoanzia anzia hapo hapo sahau awali,
Yaani hao single mum wanachotakiwa kufanya ni kusema, nitukanie baba corona,
Sent using Jamii Forums mobile app