Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kuoa single mother ni sawa na kuonja sumu .
Mimi single mother hata kuwa nae katika mahusiano tu siwezi kwa sasa sembuse kuoa kabisa.
Kwa sasa nikitokea mwanamke swali namba moja ni je ana mtoto kama ikiwa ndio nakata mawasiliano kimya kimya .
Single mother wengi wao ni poison.
vipi single mothers wameshawahi kukufanyia mauza uza nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndugu yangu.

Nakumbuka mengi sana niliyomtendea ili kumfariji na kumpenda kisawasawa hadi kila mtu alijua ningemuoa yeye. Na kila mtu alijua mimi ndiye mume mtarajiwa kwake.

Niliwahudumia yeye na mwanaye hadi akanambia upendo wangu kwa mtoto wake ni zaidi ya kila mtu.

Sitaki kueleza alichonikosea! Hasa baada ya ujio wa baba wa mtoto wake! Ila ndipo upendo wangu kwake ulipoanza kushuka.

Siku moja nilimpiga hadi nikajua nimeua labda. Nilimuadhibu hadi akazimia, na kila alipokuwa anakwenda kujisaidia alitokwa na damu kama siku 3. Ilikuwa kichapo heavy.

Ndugu zake na baba zake wadogo walipotaka kwenda Police kunifungulia kesi, akawaambia wasiende na hataki wanishtaki. Na akasema hawezi kutoa ushahidi wowote kunihusu, maana japokuwa nimempiga ila bado ananipenda sana! Wakaishiwa pozi!

Ni miaka 4 sasa toka tulipoachana but hajaolewa na ni binti mzuri na mrembo kabalikiwa umbo na sura. Na kila mara anasema hatopata kama nilivyompenda! Nampa moyo tu. Ila ninapokwenda Unyamwezini huwa tunakumbushia.

So, hawa viumbe wenzetu wanajisahau sana. Ila hukumbuka wakati time imeshapita. Na kujutia pia. Ila ni dada zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
alizingua nini huyo hadi ukampa kichapo nusu kuua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kufurahia mahusiano, tafuta mtu ambaye anaweza kukupa Faraja na Amani,
usiangalie kuwa ni single mother au vipi,
Unaweza ukawa na single mother na mkaishi kwa Amani na furaha na pia unaweza ukaishi na ambaye ni pure lakini usipate Amani kila siku unaishia kuumia tuu,

Ukiona upo na single mother halafu anakupa kauli usizozipenda jua huyo hamuendani naye muache coz kila unachomfanyia yeye anachukulia kipimo kuanzia kwa Baba Corona,

Hizi issues za kuwa na mahusiano na single mothers zinahitaji moyo wa kipekee na kama haupo committed acha kabisa, mana utaingia kufanya maamuzi magumu kwa kila jambo, utaishia kukonda na kukosa Amani ya moyo, ukifuata na kauli za mtaani "ushawahi ona wapi mechi inaanza 0:1"

Tafuta hela, fanya ibada sana, toa sadaka, jiheshimu na uuheshimu mwili wako maana Mungu anakupa unachoendana nacho "Ukiwa mchezaji utampata aliyechezewa na wenzako"

(MUOMBE MUNGU UPATE MKE MWEMA WA KUKUPA AMANI, FARAJA, NGUVU NA UJASIRI KWA KILA JAMBO)



Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa unajua hadi sio Poa
umetema facts tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la single mamaz...wanaoenda kuwatreat wana kama watoto wao...halafu they are overprotective kwa watoto wao...utazani wameambiwa wewe ni mtoa roho...

Utawasikia ooohh mapenzi ni mimi na wewe huyu mtoto hata hakuhusu...halafu ukicheki kipindi hicho wewe wapo kwako....

OVAAAA
utasikia " nitafanya chochote ili mradi mtoto wangu aishi maisha ya furaha "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom