Labda ukae nao mbali lakini ukijiweka karibu nao tu utahikuta unamuoa huyo huyo single mother sababu wengine ni washirikina sana!
Akishapata inputs zako za ndani tu umekwisha!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hutokana na kuwatega wanaume kwamba pengine akijamwambia mwanaume kuwa ana mimba yake lamda Mwanaume atashawishika kumuoa!

Actually ni kutake risk fulani hivi ya maisha!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu anaweza kutembea na mwanaume kienyeji bila kufuata taratibu za kupima afya inamaana na risk ya kupata maambukizi pia inakuwa ni kubwa au siyo?!

Mwenyezi Mungu zidi kutuepusha na mabaya yote kama ulivyoahidi Baba na vizazi vyetu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kila mwanamke mwenye mtoto hakujitunza kimaadili? Huu utoto umezidi JF!
Hata sababu ya watu kuoa na huijui?
 
Nipe maana sahihi ya single maza inayoondoa maana ya kutokujitunza, tukiondoa waliofiwa na waume zao au kutalakiana hawa siwazungumzii ila nazungumzia hawa mabinti waliozalia nyumbani bila ndoa ambao ni janga la taifa.
Hivi kila mwanamke mwenye mtoto hakujitunza kimaadili? Huu utoto umezidi JF!
Hata sababu ya watu kuoa na huijui?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna tofauti yoyote ya kimwili na kiumbo ipo kati ya single mother na single girl?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…