Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watamu hao... Dah umenikumbusha simgle mum mmoja alinipa mambo mpaka basi yaani.Kipenda roho hula nyama mbichi kama wewe hupendi mimi ndio maradhi yangu single mother.
Yaani jamii zetu za Kiafrika na single mother! Siku zinavyokwenda ndivyo zinawaona kama ni viumbe wapya kutoka sayari ya Jupiter!
Mungu awasaidie na awatangulie pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu kiume..[emoji109]Kwa sababu wamependana.
Ni rahisi ku bargain kwenye kitu used tofauti na kitu kipya mkuu. If you know you must understand.
Mf. ukienda Karume unaweza nunua raba kwa sh.10,000 ila raba hio hio hata ikiwa mdosho dukani huwezi ipata kwa chini ya 25,000!
Kikubwa mapenzi tu baas, utotoni nilikua na mentality ya kiduanzi kama yako ila nilipokua mkubwa nikaacha.
Hope same thing happens to you.
Mwanamke asiye bikra na single mother nikitu ki1.
Wallahi wachuma dhambi sheikh😋Tofauti yao ipo sehemu ndogo sana.
Huyu mmoja ni used ila huyu mwingine ni useless.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na vip kuhusu kuolewa na masingle father's (yani wanaume wenye watoto) mila na desturi zenu zinasemaje?
Wallahi wachuma dhambi sheikh[emoji39]
🤣🤣🤣🤣sawa muafrika tumekusikia, tutaendelea kuwa bikra mpaka tutakapo olewa.Hili kwetu halina tatizo maana kwa mila zetu na mila za kiafrika zinaruhusu mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ila hakuna popote pale duniani panaporuhusu mwanamke mmoja kuwa na wanaume wawili.
Kwahyo kidume naweza kuoa na nikiamua kuongeza mwingine naongeza bila shida na bila kikwazo hata kama nina watoto 100.
Mtoto wa mwanaume mwingine ni wa familia nyingine na ukoo mwingine hata kama nimemuoa mama yake, kwa mila zetu hatambuliki.
Kwahyo wanawake punguzeni kuvua chupi hovyo maana inawashushia heshima na kuwafedhehesha wazazi wenu mbele ya jamii kwa kuonekana familia ya hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni KweliKila kitu kinafaida na hasara zake. Muhusika utachambua kulingana na hitaji lako.