kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Hii dhana ya single mother ni potofu sana na dhalilishi sana kwa wanawake kwa mujibu wa tamaduni zenu na imekua mada ambayo kila kijana aliebarehe juzi na hajui undani kuhusu wanawake anakimbilia huku na kuilletea Uzi, kiufupi hakuna sababu za kimsingi zinazokufanya wewe mwanaume uliekamilika kuanza kumjudge single mother kwani wengi wao sisi wenyewe ndio chanzo cha kuwafanya wawe single mother kwani tunadate nao kwa ahadi mbali mbali mwisho wa siku akishapata ujauzito tunawatelekeza au kutokuoa kabisa hivyo kwa mwanamke anaejitambua ukimtelekeza akiwa mjamzito hawezi kuwa na mda na wewe na wala hatafikiria kukitoa kiumbe nikiwa mfu badala yake atakipambania ili kifike duniani, na kumbuka nae ni binadamu kama wewe ambae ana hisia nyingi zaidi yako wewe hivyo haitaweza kumzuia kumpata mtu wa kudate nae au kuingia nae katika ndoa.
Hivyo fikilia kabla hujamdhalilisha single mother jifikilie hata mama yako kwa baba yako hakua wa kwanza na hajaolewa akiwa bikra hivyo kuna lijamaa lilimtumia sana kabla hajakutana na baba yako na kukuzaa wewe na unaweza kuwa miongoni mwa mnaowadhalilisha hawa wanawake kumbe hata wewe mwenyewe sio mtoto halali wa huyo baba yako na ameamua kukaa na kitu moyoni kumlindia heshima baba yako, kwangu mm hizi dhana za single mother ni udhalilishaji mkubwa sana wana haki ya kuolewa na kut.....bwa na mtu yoyote yule