Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Sisi wanaume ndiyo waoaji, tutaoa mwanamke yeyote tuliyependezwa nae awe single mother au la ,sisi tutaoa mwanamke wa maana.

Wanawake mnawaonea wivu wanawake wenzenu ambao wameshazaa lakini bado wanaolewa na wanaume wengine huku nyie mnaojiita new bland hata mchumba hamna.
Mnawapiga vita bure, wenzenu wanajua mapenzi, wanajua kumhandle mwanaume, kiufupi wanajua mwanaume nini anataka. Hivyo basi sisi tutaendelea kuwaoa bila kujali chuki zenu dhidi yao.
TUTAENDELEA KUWAOA. new brand yako utajua kwa kuipeleka.
 
Uliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.

Sometimes huwa sipendi ujinga

🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23]
 
Mfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.

Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.

Wajibika Mama aishi.
Awajibike kwa mzinifu? Single mama apambane na alomtia mimba huko akija huku anakandwa achanganye mbariga zake.
 
Ila jamani kufika miaka kama 15 ijayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kwa hiyo kuja kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.
Comment imeshiba hii mkuu kongole kwako
 
Yaani andiko hill limekosa like hata mmoja? Tafsiri yake ni nini? bila shaka inaonyesha kiwango cha utovu wa maadili katika jamii kiasi cha kutoona point hata mmoja kwenye andiko lote hili.
That's is true watu hawaupendi ukwel
 
GENTLEMEN... In your 20's focus on building yourselves, be a better you for YOU, once that foundation is stable say in your 30's, go for a young early 20's woman. The girls your age will make you their retirement plan after rejecting you in their 20's.


If she can't give you her best years, don't give her yours. The 30's will make you a Step up Father & claim responsibility of a child that's not yours. It's better to enjoy your first child together than to enjoy it with someone who's having child no.3 Don't be a retirement plan.
 
Hakika nimejifunza kitu
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?

Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.

Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.

Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao

WITO: raha ya soda ukute haijaonjwa

********** Mwenye mtazamo sawa na mwanzisha mada*********





**********Ushauri kwa waliooa Single Mothers**********



********** Mama yake amemkata asioe single Mother**********



********** Madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na Single Mother**********



********** Kauli zilizowauzi waliokuwa kwenye mahusiano na Single Mothers**********

 
SEHEMU YA KWANZA

[emoji1630] *KWANINI SINGLE MOTHERS WANAONGEZEKA DUNIANI?*

*BY MR. GODFREY EDWARD*

*Single Mothers* na mahusiano mengi kuvunjika mara kwa mara kwa maono mapana naona inasababishwa na tatizo moja kuu.

Watu wengi wanaingia kwenye *Mahusiano* na wenza ambao sio sahihi kwao.

Kitaalamu unaweza kusema *Mwanamke* anaanzisha mahusiano au anazaa mtoto na *Mwanaume* ambae sio *Soul Mate* wake.

*Soul Mate* kwa tafsiri ya kitaalamu ni mpenzi mmoja tu ambae utakuwa na hisia nae za ndani kabisa *(Deep love)* za kimwili na za kiroho *(Body and Soul connection)* na utampenda kwa moyo wako wote na kwa maisha yako yote *(Eternal love)* haijalishi mtu huyo atakuwa na hali gani ya kimaisha.

Naamini kwamba Kila binadamu aliumbwa kwa ajili ya kumpenda mtu mmoja tu.

Yani kila binadamu aliumbwa kuwa na Hisia za Mapenzi za kweli *(Deep love)* na mtu mmoja tu hapa duniani.

[emoji3519] Naamini pia Sababu kubwa inayosababisha Mahusiano mengi kutodumu au Ndoa nyingi hazidumu ni kwasababu watu wengi wapo kwenye mahusiano na watu ambao hawana hisia nao za dhati *(Deep love)*

ila wapo nao tu kwenye mahusiano kwasababu zingine ambazo hazihusiani na mapenzi ya dhati

yani sio *Soul Mates* wao.

[emoji3519] Wengi wapo kwenye mahusiano kwasababu ya,

[emoji3591] *Fedha.*

[emoji3591] *Umaarufu wa mtu husika.*

[emoji3591] *Cheo cha mtu husika.*

[emoji3591] *Muonekano wa mtu husika.*

Lakini sio kwasababu za mapenzi ya dhati kwa mtu husika *(No Deep Love).*

Kutokana na sababu hii kubwa ndio maana mahusiano mengi na ndoa nyingi zimekuwa hazidumu kwa muda mrefu.

[emoji3519] Mbaya zaidi kama *Mahusiano* yataanzishwa kwasababu ambazo *sio za mapenzi ya dhati (Not Deep love)*

Au kama utaingia kwenye mahusiano na mtu ambae haukupangwa kuwa nae *(Undestined Soul Mate)* na ukazaa nae mtoto.

Uwezekano wa kuachana ni mkubwa na hivyo *mwanamke* anaweza kubadilika kuwa *Single Mother* au kama malezi ya mtoto ataachiwa mwanaume basi na yeye atabadilika kuwa *Single Father.*

*Soul Mate* wa kweli kwa kila mtu duniani huwa ni mmoja tu na anaweza kuwa katika nchi yako au nchi nyingine.

[emoji3519] Mfano, *Soul mate* wako wa kweli anaweza kuwa ni *Mtanzania* au anaweza asiwe ni raia wa nchi yako.

Labda *Soul Mate* wako anaweza kuwa ni *Mjerumani, Mhindi, Chinnesse, American* au hata nchi nyingine ya *Afrika*.

[emoji3519] lakini haijalishi nchi anayotokea mwenza wako wa dhati uliepangiwa *(Destined Soul Mate)* huwa yupo mtu mmoja tu duniani ambae ndio aliumbwa kwa ajili yako.

[emoji3519] Kitaalamu wanasema kwamba kila binadamu atakuja kuyafurahia mapenzi ya dhati kwa asilimia kuanzia *90%* na kuendelea pale tu atakapofanikiwa kumpata *Mwanaume* alieumbwa kwa ajili yake au kumpata *Mwanamke* alieumbwa kwa ajili yake kitaalamu yani *Soul Mate.*

Huyu ndio mtu pekee ambae utakuwa umeunganishwa nae *kimwili* na *kiroho (Body and Soul Connection)* na sio rahisi kuja kutenganishwa nae kwasababu zozote za kidunia labda kifo tu ndio kiwatenganishe.

[emoji3519] Matatizo yanayoendelea kutokea kwenye jamii zetu yanayohusiana na mapenzi kama,

[emoji3591] *Mwanamke Kuzalishwa na kuachwa Single Mother*

[emoji3591] *Wapenzi kufumaniana.*

[emoji3591] *Wapenzi kuuwana kwa tamaa za mali au hasira za mapenzi.*

[emoji3591] *Wapenzi Kudharauliana kutokana na tofauti za kipato au vyeo.*

Na matatizo mengine mengi kama haya yanatokea kwasababu watu wengi wanaingiza kwenye mahusiano na watu ambao *sio Soul Mates* wao.

[emoji3519] Ukija kumpata *Soul Mate* wako hauwezi kuja,

[emoji3591] *Kumsaliti*

[emoji3591] *Kumpiga.*

[emoji3591] *Kumdharau.*

[emoji3591] *Kumuongelea vibaya asipokuwepo.*

[emoji3591] *Kumzalisha na kumuacha Single Mother.*

Na mambo mengine mabaya kama hayo kwasababu *Mapenzi ya kweli* yana nguvu sana.

[emoji3519] Ikitokea ukaja kumpata *Soul Mate* wako wa kweli hata kama ni,

[emoji3591] *Maskini.*

[emoji3591] *Sio maarufu.*

[emoji3591] *Hana mvuto Sana.*

[emoji3591] *Hana elimu kubwa.*

Bado utampenda vile vile kwasababu *Soul Mate* wako unaunganishwa nae *kiroho (Soul Connection)* na sio *kimwili* tu.

[emoji3519] Mtu ambae umempenda kwa dhati yani *Soul Mate* wako

Hakuna tatizo lolote duniani ambalo litaweza kukufanya upunguze mapenzi yako kwake.

[emoji302] Ukiona kuna mtu mwanzo ulikuwa na hisia nae alafu ghafla zile hisia kwake zikaanza kupungua au zikaisha kabisa basi fahamu huyo mtu hakuwa *Soul Mate* wako.

[emoji302] Ukiona mtu mwanzo alikuwa *Anakujali* na *Anakusikiliza* lakini ghafla amebadilika

anaanza kuwa *Mkali kwako, Anakupiga* na kukufanyia mambo mengine mabaya basi tambua mtu huyo hakuwa *Soul Mate* wako.

[emoji3519] Siku zote *Soul Mates* huwa na *Mapenzi ya dhati* tena kwa pande zote mbili ambayo ni sawa.

Yani *Mwanamke* na *Mwanaume* wote wanapendana sawa na kwa dhati *(Deep love and connection of two lovers equally).*

[emoji3519] *Mapenzi ya upande mmoja hayo sio mapenzi ya kweli.*

*Mapenzi* ambayo *Mwanamke* pekee yake ndio kampenda sana *Mwanaume* husika.

Au *Mwanaume* pekee yake ndio kampenda sana *Mwanamke* fulani hayo *sio mapenzi ya dhati (Not Deep love).*

*Deep love* huwa ni *Mapenzi ya watu wawili* tu yani *Mwanamke Mmoja* na *Mwanaume Mmoja* kupendana kwa dhati na hakuna tatizo au sababu yoyote inayoweza kuwatenganisha zaidi ya *Kifo* tu.

Na *Deep love* huwatokea wapenzi ambao ni *Soul Mates* tu.

Ingawa *Deep love* huwatokea *Soul Mates* tu lakini sio kitu rahisi sana kumpata yule ambae aliumbwa kwa ajili yako tu na wewe uliumbwa kwa ajili yake tu.

[emoji302] Lakini ukimpata *Soul Mate* wako wa kweli ndio mtu pekee ambae utafurahia nae mapenzi ya milele hapa duniani.

Na sio rahisi kukuacha uteseke pekee yako kama single mother.
 
wanawake wa sasa wanajitambua hawataki manyanyaso ya wanaume, wanaume wengi wana tabia ya kuona wanawake hawana uwezo kama wao hawawapi uhuru wa kuchangia mawazo yao
 
Hii nadharia ni ngumu Sana,kumpata soulmate waweza zeeka bado ujampata. Ndoa uvunjika sababu kuu ni watu kutofahamiana vya kutosha. Huwezi mjua mtu Hadi uishi nae.

Ulimwengu wa Sasa ni heri uishi na mtu kwanza mjuane Kisha ndo mfunge ndoa japo hii upingana na Imani ya dini au Mila
 
Back
Top Bottom