Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Amezaliwa mwaka 2000 march, amemaliza std 7 2013, aliolewa 2015 akiwa na 15 yrs. Mtoto wa kwanza akamzaa 2016 na mtoto wa pili 2019.

Kama unahisi chai ngoja nije na mkateView attachment 1470350
Binti kazidi umalaya umri huo angekuwa shule na wewe nwache mwenzako unataka umfanye single maza wa watoto watatu
 
Yashanikuta hayo mzee baba mwanamke ananipa risala ya kibabe eti wanangu waheshimu Kama unavyoniheshimu nlijihisi vibaya Sana kuwa ananionaje nlichofanya na Mimi nkazaa nae lakini ndoa no
Tatizo la single mamaz...wanaoenda kuwatreat wana kama watoto wao...halafu they are overprotective kwa watoto wao...utazani wameambiwa wewe ni mtoa roho...

Utawasikia ooohh mapenzi ni mimi na wewe huyu mtoto hata hakuhusu...halafu ukicheki kipindi hicho wewe wapo kwako....

OVAAAA
 
Uliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.

Sometimes huwa sipendi ujinga
May be aliolewa akiwa na miaka kumi na tano.Hivyo inawezekana Mtoa masimulizi yupo sahihi.
 
Sisi wanaume ndiyo waoaji, tutaoa mwanamke yeyote tuliyependezwa nae awe single mother au la ,sisi tutaoa mwanamke wa maana.

Wanawake mnawaonea wivu wanawake wenzenu ambao wameshazaa lakini bado wanaolewa na wanaume wengine huku nyie mnaojiita new bland hata mchumba hamna.
Mnawapiga vita bure, wenzenu wanajua mapenzi, wanajua kumhandle mwanaume, kiufupi wanajua mwanaume nini anataka. Hivyo basi sisi tutaendelea kuwaoa bila kujali chuki zenu dhidi yao.
TUTAENDELEA KUWAOA. new brand yako utajua kwa kuipeleka.
Wape! Wape!,wape tena.
 
Anzisha Leo tupate elimu zaidi
Amani itakuwepo endapo Aliyemzalisha hana time naye.

Amani itakuwepo endapo hampendi aliyemzalisha.

Amani itakuwepo endapo aliyemzalisha ni choka mbaya.

Amani itakuwepo endapo aliyemzalisha anaakili na hapendi kuvuruga mahusiano yenu.

Vingine unajidanganya.

Mimi nimemzisha binti mmoja kutoka kanda ya ziwa. Nikamtelekeza kwa sababu za kiitifaki. Yule mwanamke ameshapata mwanaume mwengine wanaishi wote.

Cha ajabu Mwanamke ndio ananipigia simu akitaka nimcharaze tena. Anasema Mimi ni mzazi mwenzake hivyo anahaki ya kuniomba huduma ya penzi.

Mimi nilishangaa. Nikamwambia sitathubutu kumharibia jamaa aliyekutunzia heshima kwa kufuata hisia zako. Tuligombana sana ati namkatalia kumtooomba.

Yeye ananiita mume wake. Huwezi amini ndoa ile ipo mikononi mwangu. Nikiamua kupasha napasha muda wowote.

Lakini nimekataa huu mwaka wa pili kwa sababu ya heshima yangu kwa mshkaji ambaye hata hivyo simjui.

Hivyo Mkuu, usidhani upo salama sana. Kuna ndoa zinaishi kwa hisani ya Wababa waliozalisha wanawake mliowaoa.

Pia siri zenu zote na mambo yote utakayomfanyia wao wanatuambia. Mfano ni huyu niliyemzalisha. Akiudhiwa kidogo mashtaka lazima ayalete kwangu.

Mimi ndio namtuliza na maneno ya faraja anapoa.

Usicheze na wanawake Boss.

Nitaanzisha Uzi kuwahusu hao single mother. Case study atakuwa niliyemzalisha akaolewa na mtu mwingine.
 
Hii kitu inakera kichizi utaskia mm nampenda mwanangu utafkr akiwa na nyege mwanae atamtomba

Sent using kvant
Mweee wajameni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati mwisho wake na mtoto kwenye sebuleni tu,
chumbani ataingia na asiye ndugu yake, hili jibu daa!

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom