Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Ipo siku mtakuwa akina baba binti yako atakapopata mimba akiwa secondary na jamaa kumkimbia zen afikishe miaka 30 hajaolewa utayakumbuka haya maneno yako tuombe tu uzima, omba mungu uzae midume tupu, wakike labda kama utakuwa unashiriki kuwatoa mimba hapo sawa
 
Umemchukulia shilole kama case study lakini umechanganya maana kuna SHILOLE na single mom.
Kuhusu kutokumuoa shilole nakubali.
Kuhusu kutooa single mom nakataa.

Jana tumecheza harusi ya single mom.

Mdada mrembo mwenyewe mwenye dimples zake ni daktari.
Mkaka ni mlogistics.

LIKUD unaandika mtandaoni mtaani wenzako wanaoa.
Inna Lilahi WA ina ilayhi rajuun. It's a matter of time. Pole Kwa huyo Bwana Harusi.
 
Hilo alina ubishi, akianza kumaliza shule na karibia kupata kazi baba mzazi anaanza kujisogeza kwa mtoto,
hapo baba wakambo unaachwa kichakani

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Kuna Jamaa alianzisha Uzi anasema Kuna binti kalelewa na Baba WA kambo tangu akiwa na miaka miwili. Baba WA kambo kamsomesha mpaka chuo kikuu . Binti kamaliza chuo kapata kazi na mchumba.

Siku ya harusi: Baba WA Bwana Harusi karibu utoe Neno Kwa Bibi harusi. Binti kamkaribisha Baba ake mzazi
 
GENTLEMEN... In your 20's focus on building yourselves, be a better you for YOU, once that foundation is stable say in your 30's, go for a young early 20's woman. The girls your age will make you their retirement plan after rejecting you in their 20's.


If she can't give you her best years, don't give her yours. The 30's will make you a Step up Father & claim responsibility of a child that's not yours. It's better to enjoy your first child together than to enjoy it with someone who's having child no.3 Don't be a retirement plan.
Ur the true of your father
 
Ila wanaume mnasalitiana. Sisi tuliambiana, mwenye kibamia, asiye na pesa MARUFUKU! Sijawahi sikia tukilalamika kwakweli zaidi tu nasikia upande wenu mkilia na vibamia na ukapuku.

Ila wenzetu kila siku mnaimbishana wimbo ule ule na bado tu hamsikilizani. Kila kukicha single mothers wanaolewa. Nini shida??
Sawa singo maza
Eti mwenye pesa, ndiyo maana umebaki singo maza kwa kuchagua wenye pesa.
 
Habari za mchana huu wanaJF wenzangu.

Kama ilivyo kawaida, sisi kama wanajamii tunakuwa na mijadala tunayoileta kwa lengo la kuondoa utata, kuelekezana, kufafanuliana na kujengana ili kuwa na jamii yenye uafadhali tofauti na jamii zingine.

Leo naomba kuwashukia masingle mother (sio single parents) tena kama kawaida yetu sisi wanaume tunaopambana na stress za maisha na mahusiano kwa wakati m'moja.

Hawa viumbe wameanza kuwa miongoni mwa matatizo ya kitaifa ukijumlisha maradhi, umasikini, na ujinga. Hivyo baba wa taifa angekuwapo miaka hii natumai angekuwa katika hotuba zake anasema kuna nyufa mpya katika taifa nayo ni usingle mother ambayo inachangia kutuharibia maadili ya kizazi na kuzalisha kizazi cha hovyo kabisa.

Hebu niwahoji ninyi watoto wa kike ambao hadi sasa kwa mienendo yenu mnaonesha dalili ya kuwa future single mothers kutokana na mienendo yenu ya kipuuzi.

Hivi, unapokuwa unaleta kibes, kiburi, ubishi, dharau, ujuaji, mambo mengi kwa mwanaume rijali anaeitambua nafasi yake katika jamii na taifa kwa ujumla, unataraji vipi wewe kuwa na sifa ya kuwa under hizi protection na care.

Wanaume tunacare na kuprotect vile vyetu ambavyo vinatuhusu na sio kitu chochote ambacho hakinihusu. Ukiniletea jeuri au kiburi, au ukanidharau usitegemee kesho nitatumia hata shillingi mia yangu kwako nitakuona ni mpinzani na nitaanza kuzaa mbegu ya chuki ndani yangu juu yako.

Ni kama kwenye kampuni, kuna ranks za kimamlaka na vyeo. Huwezi kuta mlinzi anaparamia majukumu ya CEO kwasababu jana usiku alitazama video ya motivation speaker ambaye alimwambia "unaweza kutoka kuwa mlinzi wa kampuni na kuwa CEO overnight kama tu ukiamua",maana akishafanya hivyo tayari anakiuka masharti ya kazi yake na pia haiwezekani kiuhalisia yeye kiwa CEO katika mazingira ya hiyo kazi kwa wakati huo.

Hii ni kama kwenye maisha, kama umeshajua wewe gender yako ni mwanamke kwann utake kuanza kuvamia majukumu ya kiume na hata pale anapotokea mwanaume amekuelewa wewe unakuwa mpinzani wake kwa kulazimisha kukalia nafasi yake ukijua wazi yeye hawezi kaa yako?!

Hivi umesikia wapi kuna mwanaume anaeng'ang'ania kwenda clinic, au kuhesabu nyanya na vitunguu vimebakia vingapi na kuanza kubishana na mkewe kuhusu maswala ya jikoni.

Kwa kifupi, jamii inajua kabisa kuwa mwanaume au mtoto wa kiume amezaliwa kuwa kiongozi hiyo ipo wazi. Ila kwasasa kutokana na mawazo ya kifeminist ya nchi za nje tunataka kubishana na huo ukweli ona sasa nani anaeumia mwisho wa mchezo.

Hii idadi inayoongezeka ya masingle mother inareflect level ya upumbavu inayotamalaki katika vichwa vya hawa watoto wakike wa sasa. Mbona mama zetu hawakupitia huu upumbavu.

Ila mnajua sababu ni viburi ndivyo vinawaponza na uhalisia unaishia kuwapunish.

Tazama mdada kama jokate, jide, madam rita, na wengineo ambao hawana majina ana kazi na ana uwezo wa kifedha kujitegemea ila hakuna mwanaume anamsogelea sio kwasababu sio wanawake bali kwasababu wana lack ile essential component au qualification inayomtambua mwanamke kuwa submissive kwa mwanaume.

Shida jamii ya sasa na thinking class yetu ya inchi hii inajaribu kuaminisha kuwa mwanamke strong ni yule anaebishana na mwanaume, anaefanya mipango yake nje ya mipango ya familia yake na mumewe, ambaye anaongea kupita maelezo, ambaye ana mali na hazimfaidishi mumewe hata robo, ambae anapambana bila mume.

Mbona hatuongelei the darkest truth about the lives of single mothers and women....

Kuna kitabu nitashare link yake hapa. Kimeandikwa na mdada wa kimarekani ambaye ameelezea social impact ya malezi ya mzazi m'moja yaani mama katika jamii ya watu weusi.

Katika mojawapo ya kurasa, ameeleza namna hawa wanawake ambae hutumia muda mwingi kupambana ili kusapoti watoto wao na wao kutaka mtu wa kuwafariji. Kwasababu ya kukosa submissions nature kwenye characters zao so unawalazimu kutafuta mwanaume ambaye hatamcontrol kimaamuzi na ambaye hata assume full authority kwenye maisha yake. Kimbilio lao ni mume wa mtu, marioo /mama's boy , na watoto wadogo yaani young boys below 18 years na muda mwingine wanawake wenzao a.k.a usagaji.
Na zaidi hujaribu kuwa na multiple partners ambao hawa huwapa wakati mgumu sababu hawawapi attention wanayotaka na ni tishio la kuleta maradhi ya zinaa na kuwahatarishia watoto kumkosa mtu wa kuwatunza. All this trouble in the name of embracing the single life ambayo raha yake huenda ikipotea na ujana.

Hebu nenda mtafute mdada wa miaka 40 ambaye ni single mother by choice halafu kamuulize akupe honest truth kuwa nini ambacho anajutia, hautaamini atachokujibu mimi nimeshawaulizia.
So mkiona tunawapigia kelele hivi, hii sio sauti yetu sisi wanaume wenye stress za maisha bali ni sauti ya MUNGU kuja kwenu sababu, sometimes, MUNGU humtumia adui yako kukupa ujumbe wake maana anajua utamsikiliza na kunotice mapema zaidi.
Sasa ninyi mnatuona kwasasa sisi ni maadui zenu sababu ya kuwafokea ila ipo siku mtaona why tulikuwa tunawaelekeza hapa na ubishi wenu kwenye hayo makichwa yasiyosikia na yamejazwa na viburi na jeuri kisha zikafunikwa na mawigi ya nywele haramu za kafara.

Huwa najiuliza, ninyi mabinti wapumbavu ambao huwa mnakuwa mnawafuata hawa wanaotukuza usingle mother hivi mnajua what the future holds for u....?!

Haya endeleeni na upuuzi wenu....!
 
[SUB]uzi mrefu sana sijasoma wote au kabsa[/SUB]
[SUB]ila ss men tunazingua sana kumtia manzi mimba na kukataa n nn maana yake[/SUB]
[SUB]note:[/SUB]
[SUB]comment inaweza kuwa tofauti na mada [/SUB]
 
[SUB]uzi mrefu sana sijasoma wote au kabsa[/SUB]
[SUB]ila ss men tunazingua sana kumtia manzi mimba na kukataa n nn maana yake[/SUB]
[SUB]note:[/SUB]
[SUB]comment inaweza kuwa tofauti na mada [/SUB]
Unajua nikwambie jambo nimegundua. Mwanamke anayejifanya strong sikuzote atavutia wanaume weak wasiojua nafasi yao. Na mwanaume strong hata sikumoja hawawezi kuiva na wanawake wanaojikuta mafeminist for no good reason. Mwanamke anavyoongea tu ni kero kumsikiliza maana anakupa msongo wa mawazo.

Sasa unategemea mwanaume dhaifu ataweza kuhimili kupelekeshwa na mwanamke wake cha zaidi atakimbia maana huyu mwanamke atarudi kwenye tabia ya kiburi na mwanaume akibanwa ataona mzigo mwishowe ndio hawa wanakimbia.....

Usije ukalaumu chunguza. Mwanaume bora anatengenezwa, ukimuachia akue anavyotaka ndio matokeo yake anakuja kuwa kilaza kama hao wanaokimbia.....

Mimi mbona hadi umri huu sijawahi kuthubutu kutelekeza damu yangu
 
Ukiona jamii ina Wanawake wengi wenye watoto wasio na bab, basi Wanaume wa hiyo jamii ndiyo failure na siyo Wanawake, Mungu amemuumba Mwanaume ili aje atatue matatizo hapa Duniani lkn cha ajabu Wanaume wa Tanzania wanambebesha Mwanamke mzigo wote kila kushindwa kwa maisha kwa Wanaume wanamsingizia Mwanamke, kushindwa kufanikiwa kwa mtoto wa kike ni failure ya Wanaume katika hiyo jamii, kwani Wanaume ndiyo wanaopanga sera za nchi, ukiona mtoto mtaani hana chakula wala mahali pa kulala Wanaume ndiyo waliosababisha, Wanaume wana jukumu la kuiweka jamii sawa, kuangalia na kiulinda Familia zao.

Wanaume wa Tanzania acheni kulia lia kama watoto, kuweni Wanaume na siyo kulaumu Wanawake, Wanawake wanajitahidi sana na wanatimiza wajibu wao ila peke yao hawawezi kama Wanaume wao ni kama watoto, eti janaume zima linanataka lipelekewe maji ya kuoga bafuni WTF?
 
Beijing Conference ilileta hii mentality "Najielewa" mwishowe wanakuwa na kiburi kisa wanavipato "I'm financially secured sihitaji mwanaume aniendeshe!" sasa kaeni hivyo hivyo ila malezi ya upande mmoja mnatuharibia kizazi kijacho kwa kukosa father figure kwenye maisha yao (povu ruksa)

FB_IMG_1562059450339.jpg
FB_IMG_1561542320306.jpg
 
Ukiona jamii ina Wanawake wengi wenye watoto wasio na bab, basi Wanaume wa hiyo jamii ndiyo failure na siyo Wanawake, Mungu amemuumba Mwanaume ili aje atatue matatizo hapa Duniani lkn cha ajabu Wanaume wa Tanzania wanambebesha Mwanamke mzigo wote kila kushindwa kwa maisha kwa Wanaume wanamsingizia Mwanamke, kushindwa kufanikiwa kwa mtoto wa kike ni failure ya Wanaume katika hiyo jamii, kwani Wanaume ndiyo wanaopanga sera za nchi, ukiona mtoto mtaani hana chakula wala mahali pa kulala Wanaume ndiyo waliosababisha, Wanaume wana jukumu la kuiweka jamii sawa, kuangalia na kiulinda Familia zao.

Wanaume wa Tanzania acheni kulia lia kama watoto, kuweni Wanaume na siyo kulaumu Wanawake, Wanawake wanajitahidi sana na wanatimiza wajibu wao ila peke yao hawawezi kama Wanaume wao ni kama watoto, eti janaume zima linanataka lipelekewe maji ya kuoga bafuni WTF?
Swali moja nitakuuliza, nani anaewalea na kuwakuza hao wanaume failure?!
 
Back
Top Bottom