Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Jamaa wameunganisha uzi,,, ila ukweli uko palepale masingo maza wakongwe wanawashawishi mabint wadogo nao wawe masingo maza na kuwajaza ujinga kuwa wanaweza kuish bila kutegemea mwanaume lakin ukweli utabak palepale hata uwe na pesa ila pesa siyo kila kitu... Na wanawadanganya mabint wadogo ili aibu iwe ya wengi
Ntawakomesha sasa..... Wakiweka ugoko naweka jiwe...... Hadi wachoke kufuta pumbavu zao.
 
Nilishawahi nunua Fanta Orange ikiwa imefungwa vile vile

nikawa naifuta na tisssue ili kuondoa yale maji maji ya ubardi

wakat naifuta taratbu nkaigeuza nikaona soda ndani ina uchafu kbsaaaa

ikabd niangalie kizibo kipo wazi au lah nikakuta kimekaza kabisa hakijafunguliwa.

Tangu siku ile sinywi kinywaji chchte kinachotoka kiwandani kilicho kwenye package opaque.

Back to Topic :

Usiamini soda hata kama wewe unaiona haijafunguliwa,siku hz kuna queens of blow jobs.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah jamaa umeingea kama Shakespeare's art work..... Safi sana.
 
Napinga mkono hoja kuoa single mother ni sahihi sababu unaweza kuoa mrembo alfu ukakuta ni mgumba
Na siku hizi raia wanatia mimba kwanza ndipo process za kupelekana kwa wazazi

kutambulishana ziendelee,raia saivi hawa bet tena N mambo ya mauhakika kwanza.
 
Umemchukulia shilole kama case study lakini umechanganya maana kuna SHILOLE na single mom.
Kuhusu kutokumuoa shilole nakubali.
Kuhusu kutooa single mom nakataa.

Jana tumecheza harusi ya single mom.

Mdada mrembo mwenyewe mwenye dimples zake ni daktari.
Mkaka ni mlogistics.

LIKUD unaandika mtandaoni mtaani wenzako wanaoa.
Nimetamani kulike hii comment mara mia...
Kuna Wanaume kibao na akili zao wameoa Single Mother na Ndoa zao zina amani..
 
Unajua nikwambie jambo nimegundua. Mwanamke anayejifanya strong sikuzote atavutia wanaume weak wasiojua nafasi yao. Na mwanaume strong hata sikumoja hawawezi kuiva na wanawake wanaojikuta mafeminist for no good reason. Mwanamke anavyoongea tu ni kero kumsikiliza maana anakupa msongo wa mawazo.

Sasa unategemea mwanaume dhaifu ataweza kuhimili kupelekeshwa na mwanamke wake cha zaidi atakimbia maana huyu mwanamke atarudi kwenye tabia ya kiburi na mwanaume akibanwa ataona mzigo mwishowe ndio hawa wanakimbia.....

Usije ukalaumu chunguza. Mwanaume bora anatengenezwa, ukimuachia akue anavyotaka ndio matokeo yake anakuja kuwa kilaza kama hao wanaokimbia.....

Mimi mbona hadi umri huu sijawahi kuthubutu kutelekeza damu yangu
Thiss is good broo

Shukrani sana
 
Hujambo Cariha? [emoji870][emoji870][emoji870]

Siku mbili tatu hizi sijakusoma. Ngoja nianze kusaka nione kama hujaingia kwenye ligi. My hero [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Mimi sijambo kabisa hofu kwako tu,
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata siku hizi mbili hujanisoma uone ligi yangu oooh, hata hivo sipendi ligi Mimi basi tu watu hunielewa tofauti na kuanza yote
 
Afu me natamani sana kukujua in reality darling, cause tayari nimeshaona taste yako, unapenda rivals na sisi wanaume na mfumo dume mfumo natural wa dunia hii ambao hata wanyama wenzetu na mimea wanaufuata.....
[emoji23][emoji23][emoji23]siku hizi mifumo dume tupa kwenye dustibin haina nafasi Ni mwendo wa generation equality
 
Mngekuwa mpo sayari nyingine tungewakaushia. Ila sasa mpo humu humu.

Hamjui nyie ni miongoni mwa gharama ya serikali kupitia mifuko ya tasaf, mikopo isiyo na riba ambayo hairejeshwi.

Kwakifupi kodi zetu kama wananchi zinatakiwa kusaidia makundi maalumu yanayohitaji msaada kweli kama walemavu, wazee na watoto ila sio wanawake walio single hiyo ndio ina sababisha tuwafokee.

Kama wewe hapa unaongea hivi kwa ubishi kama sio single mother basi utakuwa unaelekea huko GOD forbid.
Kodi mbona hata sisi tunatoa wanawake wengi ndo hujishughulisha kuliko wanaume walio wavivu, Mimi siwezi ogopa kuzaa kisa Kuna watu wanananga single moms huku that's never nazaa kwa ajili yangu sio kwa ajili ya jamii, jukumu la kulea langu, mimba nimebeba miezi Tisa, labour naingia mwenyewe kwanini mtu Baki uhangaike na kuumizwa na Uhuru wangu binafsi wa maisha
 
Kodi mbona hata sisi tunatoa wanawake wengi ndo hujishughulisha kuliko wanaume walio wavivu, Mimi siwezi ogopa kuzaa kisa Kuna watu wanananga single moms huku that's never nazaa kwa ajili yangu sio kwa ajili ya jamii, jukumu la kulea langu, mimba nimebeba miezi Tisa, labour naingia mwenyewe kwanini mtu Baki uhangaike na kuumizwa na Uhuru wangu binafsi wa maisha
Acha uongo, wanawake hakuna wanachofanya, sisi Ndio tunalipa gharama. Wewe unasema hivyo sababu bado haujatoka katika usichana kuingia utu uzima one day utajua kuwa maisha sio pipe dream ni reality. And when it hits u then you will understand the level of the magnitude of your ignorance.
 
Acha uongo, wanawake hakuna wanachofanya, sisi Ndio tunalipa gharama. Wewe unasema hivyo sababu bado haujatoka katika usichana kuingia utu uzima one day utajua kuwa maisha sio pipe dream ni reality. And when it hits u then you will understand the level of the magnitude of your ignorance.
Hao wanawake mnaowalipia labda ni wa sayari nyingine maana najua wanawake wanachakarika Sana hivo vicent vyenu havitoshi kabisa.
Mimi naelekea kwenye ubibi na Nina wajukuu
 
Back
Top Bottom