Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu niambie ni zama gani mwanamke alikuwa anabishana na mwanaume anapofanya maamuzi ya familia tukiachia hii ya sasa?!Ukiona jamii ina Wanawake wengi wenye watoto wasio na bab, basi Wanaume wa hiyo jamii ndiyo failure na siyo Wanawake, Mungu amemuumba Mwanaume ili aje atatue matatizo hapa Duniani lkn cha ajabu Wanaume wa Tanzania wanambebesha Mwanamke mzigo wote kila kushindwa kwa maisha kwa Wanaume wanamsingizia Mwanamke, kushindwa kufanikiwa kwa mtoto wa kike ni failure ya Wanaume katika hiyo jamii, kwani Wanaume ndiyo wanaopanga sera za nchi, ukiona mtoto mtaani hana chakula wala mahali pa kulala Wanaume ndiyo waliosababisha, Wanaume wana jukumu la kuiweka jamii sawa, kuangalia na kiulinda Familia zao.
Wanaume wa Tanzania acheni kulia lia kama watoto, kuweni Wanaume na siyo kulaumu Wanawake, Wanawake wanajitahidi sana na wanatimiza wajibu wao ila peke yao hawawezi kama Wanaume wao ni kama watoto, eti janaume zima linanataka lipelekewe maji ya kuoga bafuni WTF?
Inabidi tuwafokee sana hawa wake zetu maana ndio wataelewa.Hakika umefoka yote. Wajinga sana
Safi kaa huko huko na MUNGU akulinde na abariki uzao wako usije ingia hili kundi na kizazi chako chotena bahati mbaya mimi sio single maza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfoko haujanistua
Naomba Uzi ufungwe umemaliza kila kitu.Ukiona jamii ina Wanawake wengi wenye watoto wasio na bab, basi Wanaume wa hiyo jamii ndiyo failure na siyo Wanawake, Mungu amemuumba Mwanaume ili aje atatue matatizo hapa Duniani lkn cha ajabu Wanaume wa Tanzania wanambebesha Mwanamke mzigo wote kila kushindwa kwa maisha kwa Wanaume wanamsingizia Mwanamke, kushindwa kufanikiwa kwa mtoto wa kike ni failure ya Wanaume katika hiyo jamii, kwani Wanaume ndiyo wanaopanga sera za nchi, ukiona mtoto mtaani hana chakula wala mahali pa kulala Wanaume ndiyo waliosababisha, Wanaume wana jukumu la kuiweka jamii sawa, kuangalia na kiulinda Familia zao.
Wanaume wa Tanzania acheni kulia lia kama watoto, kuweni Wanaume na siyo kulaumu Wanawake, Wanawake wanajitahidi sana na wanatimiza wajibu wao ila peke yao hawawezi kama Wanaume wao ni kama watoto, eti janaume zima linanataka lipelekewe maji ya kuoga bafuni WTF?
Mngekuwa mpo sayari nyingine tungewakaushia. Ila sasa mpo humu humu.Kwanini mwanaume uumizwe na single mother huoni kuwa una matatizo mwenyewe unahitaji tiba ya kisaikolojia. Kufatilia tu single mother wakati wewe si mwanamke naona Kuna shida somewhere, hivi hamna kazi kweli?.
Wanaume wasiojielewa kutwa kuhangaika na Mambo ya wanawake, waachieni wakae kwanza sifa ya mwanamke ni kuzaa.
Swali moja nitakuuliza, nani anaewalea na kuwakuza hao wanaume failure?!
Afu me natamani sana kukujua in reality darling, cause tayari nimeshaona taste yako, unapenda rivals na sisi wanaume na mfumo dume mfumo natural wa dunia hii ambao hata wanyama wenzetu na mimea wanaufuata.....Naomba Uzi ufungwe umemaliza kila kitu.
Tutahakikisha hiki ndio kinakuwa kizazi chao cha mwisho, huu upuuzi hautaendelea kwa watoto, wajukuu, vitukuu, vining'ina na vilembwe vyetu miaka ijayo.... .....Hawa masingo maza mtawauea haki ya nani sijui kama wanaishi kwa amani wakiingia kwenye jukwaa hili
Jamaa wameunganisha uzi,,, ila ukweli uko palepale masingo maza wakongwe wanawashawishi mabint wadogo nao wawe masingo maza na kuwajaza ujinga kuwa wanaweza kuish bila kutegemea mwanaume lakin ukweli utabak palepale hata uwe na pesa ila pesa siyo kila kitu... Na wanawadanganya mabint wadogo ili aibu iwe ya wengiTutahakikisha hiki ndio kinakuwa kizazi chao cha mwisho, huu upuuzi hautaendelea kwa watoto, wajukuu, vitukuu, vining'ina na vilembwe vyetu miaka ijayo.... .....
😂😂😂😂amenSafi kaa huko huko na MUNGU akulinde na abariki uzao wako usije ingia hili kundi na kizazi chako chote
Mkuu hii hoja yako nakubaliana nayo kwa [emoji817] , Tuna wanawake wanao hitaji cancelling kubwa Sana ,huu umagharibi unawaharibu kila uchwao ,... Kiburi,jeuri na ujuaji ...vinawapoteza kwenye ramani , na kitambo sio kirefu mitaa itawazimia dataHabari za mchana huu wanaJF wenzangu.
Kama ilivyo kawaida, sisi kama wanajamii tunakuwa na mijadala tunayoileta kwa lengo la kuondoa utata, kuelekezana, kufafanuliana na kujengana ili kuwa na jamii yenye uafadhali tofauti na jamii zingine.
Leo naomba kuwashukia masingle mother (sio single parents) tena kama kawaida yetu sisi wanaume tunaopambana na stress za maisha na mahusiano kwa wakati m'moja.
Hawa viumbe wameanza kuwa miongoni mwa matatizo ya kitaifa ukijumlisha maradhi, umasikini, na ujinga. Hivyo baba wa taifa angekuwapo miaka hii natumai angekuwa katika hotuba zake anasema kuna nyufa mpya katika taifa nayo ni usingle mother ambayo inachangia kutuharibia maadili ya kizazi na kuzalisha kizazi cha hovyo kabisa.
Hebu niwahoji ninyi watoto wa kike ambao hadi sasa kwa mienendo yenu mnaonesha dalili ya kuwa future single mothers kutokana na mienendo yenu ya kipuuzi.
Hivi, unapokuwa unaleta kibes, kiburi, ubishi, dharau, ujuaji, mambo mengi kwa mwanaume rijali anaeitambua nafasi yake katika jamii na taifa kwa ujumla, unataraji vipi wewe kuwa na sifa ya kuwa under hizi protection na care.
Wanaume tunacare na kuprotect vile vyetu ambavyo vinatuhusu na sio kitu chochote ambacho hakinihusu. Ukiniletea jeuri au kiburi, au ukanidharau usitegemee kesho nitatumia hata shillingi mia yangu kwako nitakuona ni mpinzani na nitaanza kuzaa mbegu ya chuki ndani yangu juu yako.
Ni kama kwenye kampuni, kuna ranks za kimamlaka na vyeo. Huwezi kuta mlinzi anaparamia majukumu ya CEO kwasababu jana usiku alitazama video ya motivation speaker ambaye alimwambia "unaweza kutoka kuwa mlinzi wa kampuni na kuwa CEO overnight kama tu ukiamua",maana akishafanya hivyo tayari anakiuka masharti ya kazi yake na pia haiwezekani kiuhalisia yeye kiwa CEO katika mazingira ya hiyo kazi kwa wakati huo.
Hii ni kama kwenye maisha, kama umeshajua wewe gender yako ni mwanamke kwann utake kuanza kuvamia majukumu ya kiume na hata pale anapotokea mwanaume amekuelewa wewe unakuwa mpinzani wake kwa kulazimisha kukalia nafasi yake ukijua wazi yeye hawezi kaa yako?!
Hivi umesikia wapi kuna mwanaume anaeng'ang'ania kwenda clinic, au kuhesabu nyanya na vitunguu vimebakia vingapi na kuanza kubishana na mkewe kuhusu maswala ya jikoni.
Kwa kifupi, jamii inajua kabisa kuwa mwanaume au mtoto wa kiume amezaliwa kuwa kiongozi hiyo ipo wazi. Ila kwasasa kutokana na mawazo ya kifeminist ya nchi za nje tunataka kubishana na huo ukweli ona sasa nani anaeumia mwisho wa mchezo.
Hii idadi inayoongezeka ya masingle mother inareflect level ya upumbavu inayotamalaki katika vichwa vya hawa watoto wakike wa sasa. Mbona mama zetu hawakupitia huu upumbavu.
Ila mnajua sababu ni viburi ndivyo vinawaponza na uhalisia unaishia kuwapunish.
Tazama mdada kama jokate, jide, madam rita, na wengineo ambao hawana majina ana kazi na ana uwezo wa kifedha kujitegemea ila hakuna mwanaume anamsogelea sio kwasababu sio wanawake bali kwasababu wana lack ile essential component au qualification inayomtambua mwanamke kuwa submissive kwa mwanaume.
Shida jamii ya sasa na thinking class yetu ya inchi hii inajaribu kuaminisha kuwa mwanamke strong ni yule anaebishana na mwanaume, anaefanya mipango yake nje ya mipango ya familia yake na mumewe, ambaye anaongea kupita maelezo, ambaye ana mali na hazimfaidishi mumewe hata robo, ambae anapambana bila mume.
Mbona hatuongelei the darkest truth about the lives of single mothers and women....
Kuna kitabu nitashare link yake hapa. Kimeandikwa na mdada wa kimarekani ambaye ameelezea social impact ya malezi ya mzazi m'moja yaani mama katika jamii ya watu weusi.
Katika mojawapo ya kurasa, ameeleza namna hawa wanawake ambae hutumia muda mwingi kupambana ili kusapoti watoto wao na wao kutaka mtu wa kuwafariji. Kwasababu ya kukosa submissions nature kwenye characters zao so unawalazimu kutafuta mwanaume ambaye hatamcontrol kimaamuzi na ambaye hata assume full authority kwenye maisha yake. Kimbilio lao ni mume wa mtu, marioo /mama's boy , na watoto wadogo yaani young boys below 18 years na muda mwingine wanawake wenzao a.k.a usagaji.
Na zaidi hujaribu kuwa na multiple partners ambao hawa huwapa wakati mgumu sababu hawawapi attention wanayotaka na ni tishio la kuleta maradhi ya zinaa na kuwahatarishia watoto kumkosa mtu wa kuwatunza. All this trouble in the name of embracing the single life ambayo raha yake huenda ikipotea na ujana.
Hebu nenda mtafute mdada wa miaka 40 ambaye ni single mother by choice halafu kamuulize akupe honest truth kuwa nini ambacho anajutia, hautaamini atachokujibu mimi nimeshawaulizia.
So mkiona tunawapigia kelele hivi, hii sio sauti yetu sisi wanaume wenye stress za maisha bali ni sauti ya MUNGU kuja kwenu sababu, sometimes, MUNGU humtumia adui yako kukupa ujumbe wake maana anajua utamsikiliza na kunotice mapema zaidi.
Sasa ninyi mnatuona kwasasa sisi ni maadui zenu sababu ya kuwafokea ila ipo siku mtaona why tulikuwa tunawaelekeza hapa na ubishi wenu kwenye hayo makichwa yasiyosikia na yamejazwa na viburi na jeuri kisha zikafunikwa na mawigi ya nywele haramu za kafara.
Huwa najiuliza, ninyi mabinti wapumbavu ambao huwa mnakuwa mnawafuata hawa wanaotukuza usingle mother hivi mnajua what the future holds for u....?!
Haya endeleeni na upuuzi wenu....!
Kabisa mkulungwaMkuu hii hoja yako nakubaliana nayo kwa [emoji817] , Tuna wanawake wanao hitaji cancelling kubwa Sana ,huu umagharibi unawaharibu kila uchwao ,... Kiburi,jeuri na ujuaji ...vinawapoteza kwenye ramani , na kitambo sio kirefu mitaa itawazimia data
One love
My love, unataka kunambia hadi sasa unaishi bila kufanya mapenzi?!Hivi hii inatuhusu na sisi wanawake ambao hatuna mpango wa kuwa na waume wala watoto? Yaani solo riders till we die!
Hawa moderators nina wasi wasi nao sana hawa jamaa pengine ni watu wa CCM maana ndio wanakuwa na mambo ya kipuuzi hivi. Sasa wanaunganisha uzi hivi ili watu wasichangie na huyu aliyeunganisha unaweza kuta ni single mother sasa hataki uovu wao uonekane..... Wanakera sana.......Jamaa wameunganisha uzi,,, ila ukweli uko palepale masingo maza wakongwe wanawashawishi mabint wadogo nao wawe masingo maza na kuwajaza ujinga kuwa wanaweza kuish bila kutegemea mwanaume lakin ukweli utabak palepale hata uwe na pesa ila pesa siyo kila kitu... Na wanawadanganya mabint wadogo ili aibu iwe ya wengi