Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 247
Aye! Good luck with your age mkuu...bibi, wajukuu that is you huh!I'm kibibi old enough nazeeka na utamu wwangu, umri wangu wakuwa na wajukuu read between lines
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aye! Good luck with your age mkuu...bibi, wajukuu that is you huh!I'm kibibi old enough nazeeka na utamu wwangu, umri wangu wakuwa na wajukuu read between lines
Thank youAye! Good luck with your age mkuu...bibi, wajukuu that is you huh!
EehNdio nimewahi,ni kichefu chefu
Mwanaume rijali... mwanaume.. mwanaume mwanaume... heeeeee wapenu break wadada/mama wa watu [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]...single mothers ishi unavotaka maisha ni mafupi mnooo...fall in love ukichoka withdraw and let love rest.... yes I will be a single mother kuliko kuchomwa na mkaa kuuliwa etcetera....na hakuna kitu utanifanya...ukijifanya kidume ninaleft the group.. wanaume wenyewe wa siku hizi Kina Mr five seconds [emoji23][emoji23].... Mwanaume rijali Yuko kimyaaaaaa...kimyaaaa[emoji847][emoji847]Habari za mchana huu wanaJF wenzangu.
Kama ilivyo kawaida, sisi kama wanajamii tunakuwa na mijadala tunayoileta kwa lengo la kuondoa utata, kuelekezana, kufafanuliana na kujengana ili kuwa na jamii yenye uafadhali tofauti na jamii zingine.
Leo naomba kuwashukia masingle mother (sio single parents) tena kama kawaida yetu sisi wanaume tunaopambana na stress za maisha na mahusiano kwa wakati m'moja.
Hawa viumbe wameanza kuwa miongoni mwa matatizo ya kitaifa ukijumlisha maradhi, umasikini, na ujinga. Hivyo baba wa taifa angekuwapo miaka hii natumai angekuwa katika hotuba zake anasema kuna nyufa mpya katika taifa nayo ni usingle mother ambayo inachangia kutuharibia maadili ya kizazi na kuzalisha kizazi cha hovyo kabisa.
Hebu niwahoji ninyi watoto wa kike ambao hadi sasa kwa mienendo yenu mnaonesha dalili ya kuwa future single mothers kutokana na mienendo yenu ya kipuuzi.
Hivi, unapokuwa unaleta kibes, kiburi, ubishi, dharau, ujuaji, mambo mengi kwa mwanaume rijali anaeitambua nafasi yake katika jamii na taifa kwa ujumla, unataraji vipi wewe kuwa na sifa ya kuwa under hizi protection na care.
Wanaume tunacare na kuprotect vile vyetu ambavyo vinatuhusu na sio kitu chochote ambacho hakinihusu. Ukiniletea jeuri au kiburi, au ukanidharau usitegemee kesho nitatumia hata shillingi mia yangu kwako nitakuona ni mpinzani na nitaanza kuzaa mbegu ya chuki ndani yangu juu yako.
Ni kama kwenye kampuni, kuna ranks za kimamlaka na vyeo. Huwezi kuta mlinzi anaparamia majukumu ya CEO kwasababu jana usiku alitazama video ya motivation speaker ambaye alimwambia "unaweza kutoka kuwa mlinzi wa kampuni na kuwa CEO overnight kama tu ukiamua",maana akishafanya hivyo tayari anakiuka masharti ya kazi yake na pia haiwezekani kiuhalisia yeye kiwa CEO katika mazingira ya hiyo kazi kwa wakati huo.
Hii ni kama kwenye maisha, kama umeshajua wewe gender yako ni mwanamke kwann utake kuanza kuvamia majukumu ya kiume na hata pale anapotokea mwanaume amekuelewa wewe unakuwa mpinzani wake kwa kulazimisha kukalia nafasi yake ukijua wazi yeye hawezi kaa yako?!
Hivi umesikia wapi kuna mwanaume anaeng'ang'ania kwenda clinic, au kuhesabu nyanya na vitunguu vimebakia vingapi na kuanza kubishana na mkewe kuhusu maswala ya jikoni.
Kwa kifupi, jamii inajua kabisa kuwa mwanaume au mtoto wa kiume amezaliwa kuwa kiongozi hiyo ipo wazi. Ila kwasasa kutokana na mawazo ya kifeminist ya nchi za nje tunataka kubishana na huo ukweli ona sasa nani anaeumia mwisho wa mchezo.
Hii idadi inayoongezeka ya masingle mother inareflect level ya upumbavu inayotamalaki katika vichwa vya hawa watoto wakike wa sasa. Mbona mama zetu hawakupitia huu upumbavu.
Ila mnajua sababu ni viburi ndivyo vinawaponza na uhalisia unaishia kuwapunish.
Tazama mdada kama jokate, jide, madam rita, na wengineo ambao hawana majina ana kazi na ana uwezo wa kifedha kujitegemea ila hakuna mwanaume anamsogelea sio kwasababu sio wanawake bali kwasababu wana lack ile essential component au qualification inayomtambua mwanamke kuwa submissive kwa mwanaume.
Shida jamii ya sasa na thinking class yetu ya inchi hii inajaribu kuaminisha kuwa mwanamke strong ni yule anaebishana na mwanaume, anaefanya mipango yake nje ya mipango ya familia yake na mumewe, ambaye anaongea kupita maelezo, ambaye ana mali na hazimfaidishi mumewe hata robo, ambae anapambana bila mume.
Mbona hatuongelei the darkest truth about the lives of single mothers and women....
Kuna kitabu nitashare link yake hapa. Kimeandikwa na mdada wa kimarekani ambaye ameelezea social impact ya malezi ya mzazi m'moja yaani mama katika jamii ya watu weusi.
Katika mojawapo ya kurasa, ameeleza namna hawa wanawake ambae hutumia muda mwingi kupambana ili kusapoti watoto wao na wao kutaka mtu wa kuwafariji. Kwasababu ya kukosa submissions nature kwenye characters zao so unawalazimu kutafuta mwanaume ambaye hatamcontrol kimaamuzi na ambaye hata assume full authority kwenye maisha yake. Kimbilio lao ni mume wa mtu, marioo /mama's boy , na watoto wadogo yaani young boys below 18 years na muda mwingine wanawake wenzao a.k.a usagaji.
Na zaidi hujaribu kuwa na multiple partners ambao hawa huwapa wakati mgumu sababu hawawapi attention wanayotaka na ni tishio la kuleta maradhi ya zinaa na kuwahatarishia watoto kumkosa mtu wa kuwatunza. All this trouble in the name of embracing the single life ambayo raha yake huenda ikipotea na ujana.
Hebu nenda mtafute mdada wa miaka 40 ambaye ni single mother by choice halafu kamuulize akupe honest truth kuwa nini ambacho anajutia, hautaamini atachokujibu mimi nimeshawaulizia.
So mkiona tunawapigia kelele hivi, hii sio sauti yetu sisi wanaume wenye stress za maisha bali ni sauti ya MUNGU kuja kwenu sababu, sometimes, MUNGU humtumia adui yako kukupa ujumbe wake maana anajua utamsikiliza na kunotice mapema zaidi.
Sasa ninyi mnatuona kwasasa sisi ni maadui zenu sababu ya kuwafokea ila ipo siku mtaona why tulikuwa tunawaelekeza hapa na ubishi wenu kwenye hayo makichwa yasiyosikia na yamejazwa na viburi na jeuri kisha zikafunikwa na mawigi ya nywele haramu za kafara.
Huwa najiuliza, ninyi mabinti wapumbavu ambao huwa mnakuwa mnawafuata hawa wanaotukuza usingle mother hivi mnajua what the future holds for u....?!
Haya endeleeni na upuuzi wenu....!
alikuletea habari gani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ndio nimewahi,ni kichefu chefu
vipi alikupiga huo mzinga?Wakat tunaagana,akawa ananishkuru kua nmempa burudan sana leo,pia kipind niko nae frm mchana,alikua anapokea sana phone calls,akiongea ni mambo ya shule ya mwanae,amerudishwa home,alikua anapigiwa sim na bro wake kua atamrushia chochote kitu ajazie ada,..sasa nkatafakar ,nkasema mmh huu mzigo nsije bebeshwa mie ,..yan tokea juz naskilizia hko kizinga,ila bado sjapigwa,.naskilizia though..ingawa tunawasiliana kama kawaida tokea juz na hajadokeza hzo mambo za vizinga,sasa sjui ni uoga wangu tuu.maana
Anything you say shall and will be used against you by KARMA.Mwanaume rijali... mwanaume.. mwanaume mwanaume... heeeeee wapenu break wadada/mama wa watu [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]...single mothers ishi unavotaka maisha ni mafupi mnooo...fall in love ukichoka withdraw and let love rest.... yes I will be a single mother kuliko kuchomwa na mkaa kuuliwa etcetera....na hakuna kitu utanifanya...ukijifanya kidume ninaleft the group.. wanaume wenyewe wa siku hizi Kina Mr five seconds [emoji23][emoji23].... Mwanaume rijali Yuko kimyaaaaaa...kimyaaaa[emoji847][emoji847]
Marriageisnotmypriority [emoji57][emoji57][emoji57]
Sisi tunazungumzia wale mwanakulifind mwana kuligetMfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.
Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.
Wajibika Mama aishi.
equality na kwenye majukumu mfano ada.kodi n.k au huko hamna equality[emoji23][emoji23][emoji23]siku hizi mifumo dume tupa kwenye dustibin haina nafasi Ni mwendo wa generation equality
Equal ni sera ya shetani...[emoji23][emoji23][emoji23]siku hizi mifumo dume tupa kwenye dustibin haina nafasi Ni mwendo wa generation equality
Likewise FazaaaaAnything you say shall and will be used against you by KARMA.
Huyo mwanakulifind alijipa mimba....[emoji57][emoji57]... Nawahurumia wanaume wanaowasema single mothers...na utazaa baby gals bro.. anyway...nice post[emoji485][emoji485]Sisi tunazungumzia wale mwanakulifind mwana kuliget
Kila kitu kumsingizia shetani hata kwa uzembe wa kufikiriaEqual ni sera ya shetani...
Kote tu equalityequality na kwenye majukumu mfano ada.kodi n.k au huko hamna equality
Kumbe uzi wako waliuunganisha huku bwana SamsonHabari za mchana huu wanaJF wenzangu.
Kama ilivyo kawaida, sisi kama wanajamii tunakuwa na mijadala tunayoileta kwa lengo la kuondoa utata, kuelekezana, kufafanuliana na kujengana ili kuwa na jamii yenye uafadhali tofauti na jamii zingine.
Leo naomba kuwashukia masingle mother (sio single parents) tena kama kawaida yetu sisi wanaume tunaopambana na stress za maisha na mahusiano kwa wakati m'moja.
Hawa viumbe wameanza kuwa miongoni mwa matatizo ya kitaifa ukijumlisha maradhi, umasikini, na ujinga. Hivyo baba wa taifa angekuwapo miaka hii natumai angekuwa katika hotuba zake anasema kuna nyufa mpya katika taifa nayo ni usingle mother ambayo inachangia kutuharibia maadili ya kizazi na kuzalisha kizazi cha hovyo kabisa.
Hebu niwahoji ninyi watoto wa kike ambao hadi sasa kwa mienendo yenu mnaonesha dalili ya kuwa future single mothers kutokana na mienendo yenu ya kipuuzi.
Hivi, unapokuwa unaleta kibes, kiburi, ubishi, dharau, ujuaji, mambo mengi kwa mwanaume rijali anaeitambua nafasi yake katika jamii na taifa kwa ujumla, unataraji vipi wewe kuwa na sifa ya kuwa under hizi protection na care.
Wanaume tunacare na kuprotect vile vyetu ambavyo vinatuhusu na sio kitu chochote ambacho hakinihusu. Ukiniletea jeuri au kiburi, au ukanidharau usitegemee kesho nitatumia hata shillingi mia yangu kwako nitakuona ni mpinzani na nitaanza kuzaa mbegu ya chuki ndani yangu juu yako.
Ni kama kwenye kampuni, kuna ranks za kimamlaka na vyeo. Huwezi kuta mlinzi anaparamia majukumu ya CEO kwasababu jana usiku alitazama video ya motivation speaker ambaye alimwambia "unaweza kutoka kuwa mlinzi wa kampuni na kuwa CEO overnight kama tu ukiamua",maana akishafanya hivyo tayari anakiuka masharti ya kazi yake na pia haiwezekani kiuhalisia yeye kiwa CEO katika mazingira ya hiyo kazi kwa wakati huo.
Hii ni kama kwenye maisha, kama umeshajua wewe gender yako ni mwanamke kwann utake kuanza kuvamia majukumu ya kiume na hata pale anapotokea mwanaume amekuelewa wewe unakuwa mpinzani wake kwa kulazimisha kukalia nafasi yake ukijua wazi yeye hawezi kaa yako?!
Hivi umesikia wapi kuna mwanaume anaeng'ang'ania kwenda clinic, au kuhesabu nyanya na vitunguu vimebakia vingapi na kuanza kubishana na mkewe kuhusu maswala ya jikoni.
Kwa kifupi, jamii inajua kabisa kuwa mwanaume au mtoto wa kiume amezaliwa kuwa kiongozi hiyo ipo wazi. Ila kwasasa kutokana na mawazo ya kifeminist ya nchi za nje tunataka kubishana na huo ukweli ona sasa nani anaeumia mwisho wa mchezo.
Hii idadi inayoongezeka ya masingle mother inareflect level ya upumbavu inayotamalaki katika vichwa vya hawa watoto wakike wa sasa. Mbona mama zetu hawakupitia huu upumbavu.
Ila mnajua sababu ni viburi ndivyo vinawaponza na uhalisia unaishia kuwapunish.
Tazama mdada kama jokate, jide, madam rita, na wengineo ambao hawana majina ana kazi na ana uwezo wa kifedha kujitegemea ila hakuna mwanaume anamsogelea sio kwasababu sio wanawake bali kwasababu wana lack ile essential component au qualification inayomtambua mwanamke kuwa submissive kwa mwanaume.
Shida jamii ya sasa na thinking class yetu ya inchi hii inajaribu kuaminisha kuwa mwanamke strong ni yule anaebishana na mwanaume, anaefanya mipango yake nje ya mipango ya familia yake na mumewe, ambaye anaongea kupita maelezo, ambaye ana mali na hazimfaidishi mumewe hata robo, ambae anapambana bila mume.
Mbona hatuongelei the darkest truth about the lives of single mothers and women....
Kuna kitabu nitashare link yake hapa. Kimeandikwa na mdada wa kimarekani ambaye ameelezea social impact ya malezi ya mzazi m'moja yaani mama katika jamii ya watu weusi.
Katika mojawapo ya kurasa, ameeleza namna hawa wanawake ambae hutumia muda mwingi kupambana ili kusapoti watoto wao na wao kutaka mtu wa kuwafariji. Kwasababu ya kukosa submissions nature kwenye characters zao so unawalazimu kutafuta mwanaume ambaye hatamcontrol kimaamuzi na ambaye hata assume full authority kwenye maisha yake. Kimbilio lao ni mume wa mtu, marioo /mama's boy , na watoto wadogo yaani young boys below 18 years na muda mwingine wanawake wenzao a.k.a usagaji.
Na zaidi hujaribu kuwa na multiple partners ambao hawa huwapa wakati mgumu sababu hawawapi attention wanayotaka na ni tishio la kuleta maradhi ya zinaa na kuwahatarishia watoto kumkosa mtu wa kuwatunza. All this trouble in the name of embracing the single life ambayo raha yake huenda ikipotea na ujana.
Hebu nenda mtafute mdada wa miaka 40 ambaye ni single mother by choice halafu kamuulize akupe honest truth kuwa nini ambacho anajutia, hautaamini atachokujibu mimi nimeshawaulizia.
So mkiona tunawapigia kelele hivi, hii sio sauti yetu sisi wanaume wenye stress za maisha bali ni sauti ya MUNGU kuja kwenu sababu, sometimes, MUNGU humtumia adui yako kukupa ujumbe wake maana anajua utamsikiliza na kunotice mapema zaidi.
Sasa ninyi mnatuona kwasasa sisi ni maadui zenu sababu ya kuwafokea ila ipo siku mtaona why tulikuwa tunawaelekeza hapa na ubishi wenu kwenye hayo makichwa yasiyosikia na yamejazwa na viburi na jeuri kisha zikafunikwa na mawigi ya nywele haramu za kafara.
Huwa najiuliza, ninyi mabinti wapumbavu ambao huwa mnakuwa mnawafuata hawa wanaotukuza usingle mother hivi mnajua what the future holds for u....?!
Haya endeleeni na upuuzi wenu....!
Acha kutetea mambo ambayo haujui source ni nini. Mimi nakwambia hivi nina experience na tabia na mwenendo wa wanawake sababu nimeishi nao na marafiki zangu wa karibu wameishi nao pia....Huyo mwanakulifind alijipa mimba....[emoji57][emoji57]... Nawahurumia wanaume wanaowasema single mothers...na utazaa baby gals bro.. anyway...nice post[emoji485][emoji485]
Eeeen bwana. Yaani hawa jamaa wana mambo ya ajabu sana. Uzi ninauanzisha mimi wao wanauhamisha kama wameombwa vile.... Wanaboa...Kumbe uzi wako waliuunganisha huku bwana Samson
Kwanz kabisa umeandika barua au waraka 2, umetufokea, 3,hatujaelewa.. 4, jifunze ufupishoHabari za mchana huu wanaJF wenzangu.
Kama ilivyo kawaida, sisi kama wanajamii tunakuwa na mijadala tunayoileta kwa lengo la kuondoa utata, kuelekezana, kufafanuliana na kujengana ili kuwa na jamii yenye uafadhali tofauti na jamii zingine.
Leo naomba kuwashukia masingle mother (sio single parents) tena kama kawaida yetu sisi wanaume tunaopambana na stress za maisha na mahusiano kwa wakati m'moja.
Hawa viumbe wameanza kuwa miongoni mwa matatizo ya kitaifa ukijumlisha maradhi, umasikini, na ujinga. Hivyo baba wa taifa angekuwapo miaka hii natumai angekuwa katika hotuba zake anasema kuna nyufa mpya katika taifa nayo ni usingle mother ambayo inachangia kutuharibia maadili ya kizazi na kuzalisha kizazi cha hovyo kabisa.
Hebu niwahoji ninyi watoto wa kike ambao hadi sasa kwa mienendo yenu mnaonesha dalili ya kuwa future single mothers kutokana na mienendo yenu ya kipuuzi.
Hivi, unapokuwa unaleta kibes, kiburi, ubishi, dharau, ujuaji, mambo mengi kwa mwanaume rijali anaeitambua nafasi yake katika jamii na taifa kwa ujumla, unataraji vipi wewe kuwa na sifa ya kuwa under hizi protection na care.
Wanaume tunacare na kuprotect vile vyetu ambavyo vinatuhusu na sio kitu chochote ambacho hakinihusu. Ukiniletea jeuri au kiburi, au ukanidharau usitegemee kesho nitatumia hata shillingi mia yangu kwako nitakuona ni mpinzani na nitaanza kuzaa mbegu ya chuki ndani yangu juu yako.
Ni kama kwenye kampuni, kuna ranks za kimamlaka na vyeo. Huwezi kuta mlinzi anaparamia majukumu ya CEO kwasababu jana usiku alitazama video ya motivation speaker ambaye alimwambia "unaweza kutoka kuwa mlinzi wa kampuni na kuwa CEO overnight kama tu ukiamua",maana akishafanya hivyo tayari anakiuka masharti ya kazi yake na pia haiwezekani kiuhalisia yeye kiwa CEO katika mazingira ya hiyo kazi kwa wakati huo.
Hii ni kama kwenye maisha, kama umeshajua wewe gender yako ni mwanamke kwann utake kuanza kuvamia majukumu ya kiume na hata pale anapotokea mwanaume amekuelewa wewe unakuwa mpinzani wake kwa kulazimisha kukalia nafasi yake ukijua wazi yeye hawezi kaa yako?!
Hivi umesikia wapi kuna mwanaume anaeng'ang'ania kwenda clinic, au kuhesabu nyanya na vitunguu vimebakia vingapi na kuanza kubishana na mkewe kuhusu maswala ya jikoni.
Kwa kifupi, jamii inajua kabisa kuwa mwanaume au mtoto wa kiume amezaliwa kuwa kiongozi hiyo ipo wazi. Ila kwasasa kutokana na mawazo ya kifeminist ya nchi za nje tunataka kubishana na huo ukweli ona sasa nani anaeumia mwisho wa mchezo.
Hii idadi inayoongezeka ya masingle mother inareflect level ya upumbavu inayotamalaki katika vichwa vya hawa watoto wakike wa sasa. Mbona mama zetu hawakupitia huu upumbavu.
Ila mnajua sababu ni viburi ndivyo vinawaponza na uhalisia unaishia kuwapunish.
Tazama mdada kama jokate, jide, madam rita, na wengineo ambao hawana majina ana kazi na ana uwezo wa kifedha kujitegemea ila hakuna mwanaume anamsogelea sio kwasababu sio wanawake bali kwasababu wana lack ile essential component au qualification inayomtambua mwanamke kuwa submissive kwa mwanaume.
Shida jamii ya sasa na thinking class yetu ya inchi hii inajaribu kuaminisha kuwa mwanamke strong ni yule anaebishana na mwanaume, anaefanya mipango yake nje ya mipango ya familia yake na mumewe, ambaye anaongea kupita maelezo, ambaye ana mali na hazimfaidishi mumewe hata robo, ambae anapambana bila mume.
Mbona hatuongelei the darkest truth about the lives of single mothers and women....
Kuna kitabu nitashare link yake hapa. Kimeandikwa na mdada wa kimarekani ambaye ameelezea social impact ya malezi ya mzazi m'moja yaani mama katika jamii ya watu weusi.
Katika mojawapo ya kurasa, ameeleza namna hawa wanawake ambae hutumia muda mwingi kupambana ili kusapoti watoto wao na wao kutaka mtu wa kuwafariji. Kwasababu ya kukosa submissions nature kwenye characters zao so unawalazimu kutafuta mwanaume ambaye hatamcontrol kimaamuzi na ambaye hata assume full authority kwenye maisha yake. Kimbilio lao ni mume wa mtu, marioo /mama's boy , na watoto wadogo yaani young boys below 18 years na muda mwingine wanawake wenzao a.k.a usagaji.
Na zaidi hujaribu kuwa na multiple partners ambao hawa huwapa wakati mgumu sababu hawawapi attention wanayotaka na ni tishio la kuleta maradhi ya zinaa na kuwahatarishia watoto kumkosa mtu wa kuwatunza. All this trouble in the name of embracing the single life ambayo raha yake huenda ikipotea na ujana.
Hebu nenda mtafute mdada wa miaka 40 ambaye ni single mother by choice halafu kamuulize akupe honest truth kuwa nini ambacho anajutia, hautaamini atachokujibu mimi nimeshawaulizia.
So mkiona tunawapigia kelele hivi, hii sio sauti yetu sisi wanaume wenye stress za maisha bali ni sauti ya MUNGU kuja kwenu sababu, sometimes, MUNGU humtumia adui yako kukupa ujumbe wake maana anajua utamsikiliza na kunotice mapema zaidi.
Sasa ninyi mnatuona kwasasa sisi ni maadui zenu sababu ya kuwafokea ila ipo siku mtaona why tulikuwa tunawaelekeza hapa na ubishi wenu kwenye hayo makichwa yasiyosikia na yamejazwa na viburi na jeuri kisha zikafunikwa na mawigi ya nywele haramu za kafara.
Huwa najiuliza, ninyi mabinti wapumbavu ambao huwa mnakuwa mnawafuata hawa wanaotukuza usingle mother hivi mnajua what the future holds for u....?!
Haya endeleeni na upuuzi wenu....!
Ni kama chadema kusoma waraka wa CCM or kinyume chake. Ni ngumu kuelewa kama tayari umeshakaa katika position ya kupinga kila unachoelekezwa kuhusu jambo.Kwanz kabisa umeandika barua au waraka 2, umetufokea, 3,hatujaelewa.. 4, jifunze ufupisho