Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Ni kama chadema kusoma waraka wa CCM or kinyume chake. Ni ngumu kuelewa kama tayari umeshakaa katika position ya kupinga kila unachoelekezwa kuhusu jambo.

Wewe umeshachagua kukaa upande huo ulipo so endelea kuutetea. Mwisho wa siku sote tunajua kuwa Facts lakini kuna Ukweli. Don't mix the two.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila anaepinga wrongness katika uelezaji wa fact ni chadema au siyo?
 
Kila anaepinga wrongness katika uelezaji wa fact ni chadema au siyo?
Again... Upo narrow minded kwenye discussion. Dont be "word sensitive". Rejea kwenye ajenda yetu, usiingize maswala ya politics za vyama hapa muda huu, hiyo chadema nimetumia kama mfano, sijakuhusisha na mambo ya chama hata kidogo.

Kimsingi haujajipanga kwaajiri ya constructive discussion rather umejiandaa na argument. Thats not professional and civilized at all.
 
Again... Upo narrow minded kwenye discussion. Dont be "word sensitive". Rejea kwenye ajenda yetu, usiingize maswala ya politics za vyama hapa muda huu, hiyo chadema nimetumia kama mfano, sijakuhusisha na mambo ya chama hata kidogo.

Kimsingi haujajipanga kwaajiri ya constructive discussion rather umejiandaa na argument. Thats not professional and civilized at all.
Kwa mawazo yako hayo ambayo ni kutokana na uzoefu wako utawapoteza wengi Sana baba.. punguza kulialia
 
Hujampata Single Mother
aliyejaaa pesa huo usingo Maza hutauona. Tizama Ankali au yule dogo alieoa yule Mama ntilie wa kinyaki wanakula maisha kushinda Profesa wa Chuo mwenye mi-PhD mpaka kwenye ugoko. Kikubwa kujituma, pumzi pia upende mwanae japo kinafiki ili ATM iendelee kutema fuba
 
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?

Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.

Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.

Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao

WITO: raha ya soda ukute haijaonjwa

********** Mwenye mtazamo sawa na mwanzisha mada*********





**********Ushauri kwa waliooa Single Mothers**********



********** Mama yake amemkata asioe single Mother**********



********** Madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na Single Mother**********



********** Kauli zilizowauzi waliokuwa kwenye mahusiano na Single Mothers**********


NI KHERI KUOA KAHABA ANAWEZA KUKUPELEKA IKULU KULIKO KUOA MWANAMKE ANAYEJIFANYA AMEELIMIKA, YEYE WA THAMANI, YEYE LAZIMA APIGIWE MAGOTI, YEYE NDIYO YEYE NA SIO WEWE, HAUNA HELA ANAKWAMBIA NITATAFUTA KWINGINE BILA AIBU WAKATI HANA KAZI ILI HALI WEWE UMEMWAMBIA VUTA SUBIRA MPENZI HALI ITAKAA SAWA MUDA SI MREFU, YEYE HAJUI KITU KINACHOITWA SHIDA, YEYE HAJUI KUWA KUNA WANAWAKE WANAKUTAKA INGALI HAUNA KITU, KAPUKU....NIMECHUNGUZA SANA NA KWA MAKINI NEVER UNDER ESTIMATE YOUR ENEMY, USIJE KUAMINI MWANAMKE ASIYEZAA NI MZURI KWAKO JIONEE MWENYEWE ANZA SASA KU TEST MITAMBO..
 
Hujampata Single Mother
aliyejaaa pesa huo usingo Maza hutauona. Tizama Ankali au yule dogo alieoa yule Mama ntilie wa kinyaki wanakula maisha kushinda Profesa wa Chuo mwenye mi-PhD mpaka kwenye ugoko. Kikubwa kujituma, pumzi pia upende mwanae japo kinafiki ili ATM iendelee kutema fuba
mama ntilie wa kinyaki ndo nani?
 
Kwa mawazo yako hayo ambayo ni kutokana na uzoefu wako utawapoteza wengi Sana baba.. punguza kulialia
Kwa bahati mbaya sinaga X...... all of them still wapo kwenye my contacts list and wapo active.....
 
Single Mothers wengi ni wanawake waliopata mimba bila ya kupanga na pamoja na kuachwa na hao waliowapa mimba bado wakaamua kuzaa badala ya kuzitoa hizo mimba. Wabarikiwe sana kwa maamuzi magumu, katika jamii zetu imekuwa jambo la kawaida sana wanaume sisi kuzikataa mimba, kukimbia jukumu la malezi etc. Na pia sie ndio tunaochangia ongezeko kubwa la sijgle mothers mitaani ila cha ajabu tuko mstari wa mbele kuwaponda single mothers, ni ujinga uliotukuka, yatupasa tuuache aiseee. Lastly sjo busara kupenda kuGeneralize watu wote as if wote wapo vilevile tu.
 
Hapo vipi

Binafsi nimekuwa nikiwaacha wanawake ambao wameshazalishwa na ambao hawajaolewa..nina mitazamo ifuatayo juu ya hawa watu.

Mimi nikimuona mwanamke ambaye ameshazalishwa na hajaolewa hata akiwa na miaka 18 na amezalishwa na muona ni mzee kuliko mwanamke mwenye miaka 33 na ambaye bado hajazalishwa.

Pili naona nikimuoa mwanamke ambaye ameshazalishwa nahisi kama namuoa mke wa mtu.

Tatu, mwanamke alizalishwa naona kama utamu umepungua kuliko huyu ambaye bado hajazalishwa.

Nakaribisha mitazamo tofauti na yangu.
 
Duh jina lingine mnawaita Single Mothers, wameshajadiliwa sana humu na mahitimisho yalifikiwa na mjadala ulifungwa na mabaharia kuahidi ni kuchakata tu papuchi, na hamna kawasema tena.

Na ikitokea baharia umezamia, we zama ila usije kulia JF badae.

Nukta
 
kwani ukimuoa ambae hajazaa afu ukajikuta unalea watoto 3 wote sio wako hapo vipi??!!
 
Back
Top Bottom