aisee...kwa nini usilee huyo mtoto wewe mwenyewe

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Kwa asilimia kubwa ...single maza wengi...wapo broken heart...
 
Hata mm pia nilimkuta na mtoto moja na mm niksmzalisha wengine 6 now tuna watoto 7 mtoto wake wa kwanza ana miaka 18 wangu mm ana miaka 16 wa kwanza....Inategemea ni machaguo tuu mzee....sio wote wako hivyo....

121.
Idadi ya watoto na umri wa mtoto wako wa kwanza na hao wengine inatia mashaka...anyway jipe moyo,utashinda!
 
Kuna binti 20 yrs anawatoto wawili wote wakike mkubwa 4 yrs na mdogo ana mwaka na miezi mitatu.

Sasa mwezi April nikaona sivema binti mzuri kama Huyo aishi peke yake nikajifanya msaidizi wa kusaidiana nae kuendeleza gurudumu LA maisha.

Anakaa na bibi yake so Mimi nikuchangia vimia mia na vibuku vya mahitaji ya kila siku na tunda natunukiwa.

Sasa mwezi may ndugu walianza kumshauri arudi kwa baba wa watoto ili familia isisambaratike, huyu binti alikataa na kudai kuwa miaka mitano ya kuolewa ilikuwa ni ya mateso makubwa kwake hatorudi hata iweje.

Sasa juzi kati amenambia anahitaji kuondoka kwabibi yake na akakae mbali na nyumbani kwasababu ndugu wanampango wa kumlazimisha kurudi kwa mzazi mwenza mwezi July.

Ameomba laki moja ya kwenda kupanga chumba na kuyaanza maisha huko.

Nampenda na ananipenda lakini nahitaji mawazo yenu! Nijilipue tukaishi nae Mbali au nimuache apambane mwenyewe?

Je kutakuwa na kesi ya ugoni kwa siku za mbeleni? Maana jamaa alilipa posa na mkaja wa mama tu.

Naombeni mawazo yenu kama kuna mbadala juu ya suala hili nakaribisha mchango wenu wa mawazo.
 
Uliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.

Sometimes huwa sipendi ujinga
Amezaliwa mwaka 2000 march, amemaliza std 7 2013, aliolewa 2015 akiwa na 15 yrs. Mtoto wa kwanza akamzaa 2016 na mtoto wa pili 2019.

Kama unahisi chai ngoja nije na mkate
 
Tamaa zinakufanya uharibu ndoa y mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…