Dah pole mi mwenye na single mama hazingui Kama wako
 
Kila siku nyie vijana tuna waambia hao watu huwa hawaolewagi!!!! We kula usepe zako. Kwani mbona wachumba wamejaa tu wengi nyie mpaka muwa anzishie wazazi wenu na wajukuuuuu? And this is becoming common now. Nyie oweni tu sisi wazee tutaendelea kuwagongea tu
 
Hamna anaeruhusiwa kuchepuka. Sasa kama umetongozwa na mtu mwengine ukamkatalia tatizo liko wapi? Mie nimetongoza nikakataliwa kuchepuka kutatokea wapi?

Tatizo wanawake ni njaa njaa sana.Ukioneshwa kihela uaminifu unapeperukia dirishani.
Kwa hiyo kuchepuka kwako ni kosa la mwanamke aliyekukubalia [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haya matatizo ya kukutana na singel mothers yasingekuwepo kama kila mwanaume anae dondosha DNA zake angekua baba bora. Unamzalisha mtoto wa mtu unasema si type yako huwezi kumuoa, unategemea ataolewa na nani?
Hata mkiolewa bado mnawatunuku walio wakataa kuoa single mother ndio mtihani mgumu hapa Duniani.
 
Anakujibu hivyo mkiwa mnaongea kwa simuu!? Au macho kwa macho?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Kipimo cha Uanaume sio KUOGOPEKA na Mpenzi wako, hapana.. Mfanye AKUZOEE hivyo hivyo.. akuropokee upuuzi wake ili Ujue udhaifu ulionao/alionao.

Sasa.. MAAMUZI baada ya kupata maneno kama hayo NDIO yanadhihirisha Uanaume wako.

Usije piga mtt wa Kike... Haisaidii.
 
Mkuu una uvumilivu wa hali ya juu, Mpaka unakuja kuomba ushauri juu ya jambo kama hilo wakati unajua kabisa hakuna malaika atakuja kukuambia fanya hivi na vile, wewe mwenyewe ndio mwenye uamuzi uendelee kuishi hivyo ama uchague kesho iliyo nzuri.mimi central polisi ingenihusu maana huo umeshinda uvumilivu
 

Mkuu kabla ya kukupa ushauri uliwezaje kufuga kunguru?
 
We nae itakuwa sijui ukoje yaani nimekutafakari sijapata jibu. Mke wako kabisa wa ndoa anakwambia maneno kama hayo? Kaanzaje yaani? Ni mkeo halali au mmeokotana?
Hahahah Dilek huwa unanifurahishaga sana ujue🤩
 
Duuuuh..... Wanaume design yako wanapatikana wapi Jamani...maana Mimi nakutanaga na wanaume wanao jielewa...Dooh Mungu usinipe mwanaume Kama Huyu...Mdhaifu..

Pole Kaka...
Unakutanaga na wanaume wanaojielewa
 

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…