Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Mim hata siku moja nika semaga nikiona mwanamke anateswa na mwanaume kiukweli simuonei huruma,wacha ateswe tu maana ktk viumbe vilivyo jaliwa kutokuwa na huruma wala haya wanawake wanaongoza duniani,pia na wao wakipata fala kama Hilo jamaa lililo leta uzi wana linyanyasa haswa,mimi nilizaa na mmoja na tulikuwa hatuna mpango wa ndoa na hatukudanganyana tutaonana,Basi tukawa tunalea mtoto akakua hadi miaka minne na mama kipindi hicho kesha olewa na jamaa mwingine na huyo bwana ananifahamu,siku ya siku mwanamke ananiambia anaomba nimzalishe tena maana hataki watoto wake wawe na baba tofauti,nilimtimulia mbali na mpaka Leo hatusalimiani.
Mwanamke ki asili ni mmbinafsi na hana huruma ya kumuumiza mwanaume esp. ukimkirimu na kumuonesha penzi la kweli.

Sometime nahisi wanawake wameumbwa wawe katika rush ya kihisia. Awe na mtu msumbufu tu always ndio inampa amani zaidi. Ile hali ya kulalamika mume wangu hivi mara mume kanifanyia vile.

Ukimpa rest mwanamke ni sawa na kumuachia mtoto uhuru bila kum monitor. Lazma atafanya ucenge tu! Na madhara lazma yawe kwako.
 
Hao ma ex ni hawahawa wanaume ambao ndio waume na wapenzi wa watu wengine, kwa nini inaonekana mwanamke tu ndio mwenye kosa?
Sikiza nkwambie mpenzi. Hivi mie nikiamua kuambatana na wewe in a committed relationship natarajia utakuwa loyal kwangu sababu ni ahadi tunawekeana.

Sasa inashangaza unapokuwa na mtu halafu beki hazikabi kabisa. Huwa najiuliza ni kujirahisisha tu. Mbona kuna raia tunachukuaga namba kwao. From there on hutaona ikipokelewa...utatuma sms mpk ukome😅! Hawa sio wanawake kama nyie au?
 
Sikiza nkwambie mpenzi. Hivi mie nikiamua kuambatana na wewe in a committed relationship natarajia utakuwa loyal kwangu sababu ni ahadi tunawekeana.

Sasa inashangaza unapokuwa na mtu halafu beki hazikabi kabisa. Huwa najiuliza ni kujirahisisha tu. Mbona kuna raia tunachukuaga namba kwao. From there on hutaona ikipokelewa...utatuma sms mpk ukome[emoji28]! Hawa sio wanawake kama nyie au?
Vipi na wewe unatuma sms hadi unakoma wakati ni mume/ mpenzi wa mtu?
 
Mkuu..shida Sio single mother, shida Ni Huyu mwanaume... Mwanamke unatoa wapi UJASIRi wakumwambia mwanaume...naenda KUTOMBWA tu Mara mojaa...nikimpa haiishi....Inamaana Huyu mwanaume Ni dhaifu Tena udhaifu uliopitiliza
Hilo neno hapo lenye capital letters umekanyaga waya huku, msisimuko kama wote,
 
Mwanamke Kama huyo si ndo ataeda kutombwa tu ...Tena ataona Afadhali..

Huyu mwanaume Ni dhaifu Sana..hiyo pombe Sio solution , solution Ni kumuacha Huyu mwanamke.

Ila ameshiashindwa masikini
Nani kakudanganya? Mimi naona hiyo ni afueni ya huyo mwanaume, sasa mtu kashashindikana, anatakiwaa awe busy asiwe anamchunguza awe busy na ratiba zake
 
Mbona unakwepa swali? Kwa hiyo unaruhusiwa kuchepuka maadam mtu hujuani nae?
Hamna anaeruhusiwa kuchepuka. Sasa kama umetongozwa na mtu mwengine ukamkatalia tatizo liko wapi? Mie nimetongoza nikakataliwa kuchepuka kutatokea wapi?

Tatizo wanawake ni njaa njaa sana.Ukioneshwa kihela uaminifu unapeperukia dirishani.
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
😀😁😂😅😄😃😃😀😁😂😅😄😄😐😁😂
Kishindo Cha Awamu Ya Tano

Nasema Uongo Ndugu Zangu!!!!
Hakika yani!
 
Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"

"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Mungu ndiye anajua
Hakuna mtihani mgumu DUNIANI kama kuoa single mother.
 
Back
Top Bottom