Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ukashuhudie na kaburi lake kabisaaa ujue kama ni kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Tulikubaliana ukitaka kuoa single mother hakikisha mzazi mwenzake alishazikwa otherwise kupasha kiporo hakukwepeki kwao...
#dumesuruali...
Huyu nikiamuandikia barua ya uchumba..atasema naogopa mke Wangu atanipigaWewe nawe andika barua ya uchumba ataipata
Ntapunguza ukali wa maneno.mkuuHilo neno hapo lenye capital letters umekanyaga waya huku, msisimuko kama wote,
Unawatoto wangapi na huyo mwanamke?Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Ni mbwa......Niliwahi kusema kuwa single mothers wengi mentally hawako ok,majeraha ya kuachwa yanawafanya tofauti sana na wanawake ambao hawajazalishwa,ni wachache sana huwa wanajua kwanini wako vile na wanapoanza mahusiano mapya wanatakiwa wawe vipi,ila wengi ni pasua kichwa sana,akishaingia kwenye mahusiano mapya anakuwa kama yuko vitani ni full kupambana.Can you imagine mtu alikuacha baada ya kukutia ujauzito,tena inawezekana akaenda kuoa mwanamke mwingine,lkn inafika siku anakutongoza unampa,bila ya kujali una mtu kajitoa muhanga kukuchukua wewe na watoto wako akaamua kukulindia heshima,na usikute hata mitaani anatambulisha kuwa wale ni watoto wake...!
Watoto wa kizazi hikihiki? Wanaoambiana bikra ni uchafu?😅Mhh hii ni mada nyingine ifungulie siledi yake, tujadiliane jinsi ya kufundisha watoto watunze bikra zao.
Yaani ulewe chakari...huyo mwanamke SI atamtandika Kama mtoto akirudi sa sita...TENA anaweza akarudi sasita mwanamke akasema ndo umetoka kwa Malaya zako Sasa utaonaa...anachukua kibegi chake..huyoo kwa juma Muuza mitumba..Nani kakudanganya hiyo ni afueni ya huyo mwanaume, sasa mtu kashashindikana, anatakiwaa awe busy asiwe anamchunguza awe busy na ratiba zake
Au umeona bahati Ni kupata mwanaume unaemuaga kuwa unaenda kulala kwa jirani umemiss Dhakar yake.Unakutanaga na wanaume wanaojielewa
Huyu hata angeoa Bikra haya yangemkuta..Huyu Ni dhaifu...Bikra ndio alama ya uaminifu kwa mwanamke, hayo mengine watakudanganya
Hahah itabidi kwa kweliMhh hii ni mada nyingine ifungulie siledi yake, tujadiliane jinsi ya kufundisha watoto watunze bikra zao.
Lakn ndio mada iliyopo mezaniMhh hii ni mada nyingine ifungulie siledi yake, tujadiliane jinsi ya kufundisha watoto watunze bikra zao.
Na wanawake waaminifu pia wanapata waume wahuni sanaaUshauri ni kuacha kumfuatilia utaishi kwa amani fanya mambo yako, halafu sijui kwanini wanawake wahuni huwa wanapataga wanaume waaminifu sana
Huyo anatunywesha chai isiokua na sukarii...hakuna mwanaume wa kitanzania wanamna hiyo,mida hii kuna mtu angekua mochwari mwingine jela...joyce kiria angekua kashaandika magazeti yakutoshaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh sitaki mwanaume Dhaifu anisogleee...komaa na huyo KAHABA WAKO ULIE OA..simnasemaga huyo ni chaguo lako...hata Kama Ni kahaba..
Heshima utaiskia kwenye vikao tu vya CCM..ndungu mheshimiwa wazir nk.
...............Tatizo lako unafanya ushabiki,wewe ni mwanamke unazo njia zako za ku-deal na shida zako ambazo ni “kupiga kelele hovyo na kulia” siyo mwanaume wanaume tunazo njia zetu za ku-deal na shida zetu na wengi wetu tunajijua hatupendi kupigizana kelele hovyo especially na jinsia pinzani ndo maana tunafanya aliyoorodhesha jamaa hapo juu,kujibizana na mwanamke man to man ni risk kubwa unaweza ukaamkia jela kesho maana wengine hasira zetu zipo mikononi.Yaani ulewe chakari...huyo mwanamke SI atamtandika Kama mtoto akirudi sa sita...TENA anaweza akarudi sasita mwanamke akasema ndo umetoka kwa Malaya zako Sasa utaonaa...anachukua kibegi chake..huyoo kwa juma Muuza mitumba..
Huyu hata angeoa Bikra haya yangemkuta..Huyu Ni dhaifu...
KAshindwa KUSIMAMA KAMA MWANAUME.
Haya mambo ya kujidai mnaweza kusolve matatizo yaliyokimbiwa na mwanaume mwenzio haya ndio malipo yenu.Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?