Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"

"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Unawatoto wangapi na huyo mwanamke?
 
Niliwahi kusema kuwa single mothers wengi mentally hawako ok,majeraha ya kuachwa yanawafanya tofauti sana na wanawake ambao hawajazalishwa,ni wachache sana huwa wanajua kwanini wako vile na wanapoanza mahusiano mapya wanatakiwa wawe vipi,ila wengi ni pasua kichwa sana,akishaingia kwenye mahusiano mapya anakuwa kama yuko vitani ni full kupambana.Can you imagine mtu alikuacha baada ya kukutia ujauzito,tena inawezekana akaenda kuoa mwanamke mwingine,lkn inafika siku anakutongoza unampa,bila ya kujali una mtu kajitoa muhanga kukuchukua wewe na watoto wako akaamua kukulindia heshima,na usikute hata mitaani anatambulisha kuwa wale ni watoto wake...!
Ni mbwa......

Lakini wapumbavu zaidi ni wale wanaodiriki kubeba hawa mbwa yaani ni zaidi ya wapumbavu!inachukiza sana!
 
Nani kakudanganya hiyo ni afueni ya huyo mwanaume, sasa mtu kashashindikana, anatakiwaa awe busy asiwe anamchunguza awe busy na ratiba zake
Yaani ulewe chakari...huyo mwanamke SI atamtandika Kama mtoto akirudi sa sita...TENA anaweza akarudi sasita mwanamke akasema ndo umetoka kwa Malaya zako Sasa utaonaa...anachukua kibegi chake..huyoo kwa juma Muuza mitumba..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh sitaki mwanaume Dhaifu anisogleee...komaa na huyo KAHABA WAKO ULIE OA..simnasemaga huyo ni chaguo lako...hata Kama Ni kahaba..

Heshima utaiskia kwenye vikao tu vya CCM..ndungu mheshimiwa wazir nk.
Huyo anatunywesha chai isiokua na sukarii...hakuna mwanaume wa kitanzania wanamna hiyo,mida hii kuna mtu angekua mochwari mwingine jela...joyce kiria angekua kashaandika magazeti yakutoshaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani ulewe chakari...huyo mwanamke SI atamtandika Kama mtoto akirudi sa sita...TENA anaweza akarudi sasita mwanamke akasema ndo umetoka kwa Malaya zako Sasa utaonaa...anachukua kibegi chake..huyoo kwa juma Muuza mitumba..
...............Tatizo lako unafanya ushabiki,wewe ni mwanamke unazo njia zako za ku-deal na shida zako ambazo ni “kupiga kelele hovyo na kulia” siyo mwanaume wanaume tunazo njia zetu za ku-deal na shida zetu na wengi wetu tunajijua hatupendi kupigizana kelele hovyo especially na jinsia pinzani ndo maana tunafanya aliyoorodhesha jamaa hapo juu,kujibizana na mwanamke man to man ni risk kubwa unaweza ukaamkia jela kesho maana wengine hasira zetu zipo mikononi.

Na issue ya huyu dogo hapa akikaa humo ndani kwa maneno ya huyo malaya huoni hatari anaweza kutafuta junia la mkaa yakawa mengine?
 
Achana nae kistaarabu tu mkuu ili akampe kila siku sio mara moja pekee
 
Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"

"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Haya mambo ya kujidai mnaweza kusolve matatizo yaliyokimbiwa na mwanaume mwenzio haya ndio malipo yenu.
Vumilia tu mkuu.
 
Inaonekana mpole sana mkuu kaa hivyohivyo mwisho wa siku utaletewa mwanaume mwenzio utashushwa kwa kitanda chako alale yeye na mwanaume wake
 
Ila mpaka huyo mwanamke anakujibu hivyo ujue kashakuona dhaifu...khaa!! Pole sana
 
Back
Top Bottom