Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hivyo mwanamke akiwa kazalishwa huku mtoto yuko kwa baba wewe unaweza oa?
Hapa nafuu kiasi.

Mimi sihitimishi kuwa single mothers wote ni wabaya na hawafai kuolewa...coz kuna wengine hawajazaa ila wameshatoa mimba hadi kizazi hakifai tena.

Ila cha muhimu ni kuzingatia swali la msingi :-

1) Kwanini asiishi na aliyemzalisha mtoto/Watoto?

Kuoa single mother inawezekana ila labda aliyemzalisha asiwepo duniani....nachukia kukumbushiana kwao, hata wakiongea kuhusu mtoto ntahisi jamaa ananichora tu coz anajipigia muda wowote.

Kwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.

Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.

Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.

Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!

Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?

Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.

NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.

Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!

Poleni single mother.
akiwa dadako hutapenda apate mwenza?
 
Mi nshangaa haya mambo yakuita wanawke used,mwanaume yeye si used? Halafu mwanamke ni tabia, inawezekana huyo unayeona sio used ndio ukawa unakula makombo kila kukicha. Akimaliza vya nje anakuletea wewe wa ndani bila hata kujua.
 
Hapa nafuu kiasi.

Mimi sihitimishi kuwa single mothers wote ni wabaya na hawafai kuolewa...coz kuna wengine hawajazaa ila wameshatoa mimba hadi kizazi hakifai tena.

Ila cha muhimu ni kuzingatia swali la msingi :-

1) Kwanini asiishi na aliyemzalisha mtoto/Watoto?

Kuoa single mother inawezekana ila labda aliyemzalisha asiwepo duniani....nachukia kukumbushiana kwao, hata wakiongea kuhusu mtoto ntahisi jamaa ananichora tu coz anajipigia muda wowote.
Hahahaaaa. Jamani wanaume nyie ni waoga sana yaani kila mnachoandika ndani mnaogopa kwamba watakumbushia, sijui kupasha viporo mmh.

Kiukweli kabda mkiamua kuwa na familia muwe na wanawake ambao hawajaguswa kabisa ila hawa ambao tayari walikuwa na watu wao nyuma wanaweza kukumbushia pia. Lol
 
Mkuu mungu hawezi kukupa single maza ukiomba mke mwema .kwa kuwa huyo tayari ni mke wa yule aliyempa mimba ww utakuwa kama umeoa mke wa mtu tu so MUNGU HAKUPI MWANAMKE ALIYEZALISHWA .
Hahahaa. Kwa nini sasa Mkuu?

Kwani hakuna single mother aliye na tabia njema?
 
Napenda kusema kuwa halua haina makombo hata kama amezalishwa watoto wa 5 kwa bahati mbaya nitaoa tu maana ukipenda boga penda na ua lake upo mkuu
 
Hahahaa. Kwa nini sasa Mkuu?

Kwani hakuna single mother aliye na tabia njema?
Wapo ila shida si tabia njema shida ni kuwa kikawaida kama mwanamke kazalishwa na mwanaume na ndiyo mtoto wake wa kwanza hata kama jamaa kamkataaa basi hisia na mapenzi ya mwanamke huyo huamia kwa yule aliyemzalisha kwa hivyo hata kama utakuja kuoa kwa kisingizio kuwa atakuwa anamchukia yule aliyemzalisha ni kujidanganya jomba akiomba muda wowote anapewa kama kaoa vile .
Kwa hivyo kikubwa ni kuwa kama upo tayari kuoa aliyezalishwa basi kubali kuwa mume wa pili hivyo yani .
 
Hahahaaaa. Jamani wanaume nyie ni waoga sana yaani kila mnachoandika ndani mnaogopa kwamba watakumbushia, sijui kupasha viporo mmh.

Kiukweli kabda mkiamua kuwa na familia muwe na wanawake ambao hawajaguswa kabisa ila hawa ambao tayari walikuwa na watu wao nyuma wanaweza kukumbushia pia. Lol
Kitu kimoja muhimu nikuwa kwa sisi wanaume tukishaamua kuwa na familia kiukweli mapenzi yoote tunahamishia kwa huyo mwanamke sasa kitu kimoja ambacho roho inauma ni pale mwanamke huyo anapoamua kukumbushia kwa huyo x wake wa mwanzo dah! Kwa hapo kiukweli ni ngumu Na ndipo mapenzi yanatushinda .
 
Hujajua tu Mkuu kiporo kinaweza pashwa na yeyote yule.
Mna huruma sana yaani jomba akilalamika tu kidogo ooo tusahau ya nyuma tukumbushie kidogo tu hata kama una mume wako mara paaap ushajitupia kwa bed .
 
Back
Top Bottom