Ni mia kwa Mmoja na wanaficha mwanzo tu! yakikolea wanakuwa kama vichaa tena wengi wa single mother huwa ni beba beba tu iwe mdogo au mkubwa wengi wanaongozwa na stresss awe na hela asiwe na hela tabia zinafanana,
wanawake wanaojieshimu na wapo peke yao ni WAJANE TU! na hata huja kuolewa tena kama umri unaruhusu.
 
Lakin wapo single mother wanajishughulisha na biashara, wengine wanakazi zao,hao tuwaweke kundi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapenda wababa wawepo kwenye maisha yao tatizo unamwambia mtu njoo spend time na mwanao hataki, anasema akifika 18yrs ntamtafuta. We do wat we can do.
Then kuhusu ushoga sio mama kumharibu mtoto ni wacheche wazazi huchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin wapo single mother wanajishughulisha na biashara, wengine wanakazi zao,hao tuwaweke kundi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
tena hao ambao wapo buys kutafuta ndiyo wabaya zaidi na wengi wao ndiyo chanzo cha kuvunjika mausiano yao!
Hakuna ndoa ngumu kama za wake wanaofanya kazi na ndiyo zinaongoza kwa migogoro na kuvunjika.
 
Wengine wamezaa na michepuko mkuu,kulinda heshima ya ndoa...inabidi mtoto abaki kwa mama yake
 
Lakin wapo single mother wanajishughulisha na biashara, wengine wanakazi zao,hao tuwaweke kundi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani walipoipata hiyo/hizo mimba walikuwa hawana shughuli zao halali?? Tofautisha shughuli na feelings. Anakutana na wanaume tofauti kila uchwao. Wengine wanamsaidia kweli kweli na wengine wanamuona rahisi hivyo wajaribu bahati yao na vitu ka hivyo huwa changamoto kwao. Siku moja moja wanaanguka tena. Hawezi kwenda kulala huko au kuchelewa huko hivyo mahali pekee pa usalama ni kwake penye huyo mtoto wake wa kiume.
Mwanzoni wanafanya kwa tahadhari kubwa wasionwe na mtoto lakini yanapokolea mambo wanajisahau kumbe mtoto kauchuna tu akiwa chabo kwa kimya
 
Huwa hawajui. Baba ni rahisi sana kufahamu mtoto anafanya upuuzi kuliko mama,. Mama anaweza kuwa mzuri kwe almost kila kitu ktk malezi zaidi ya baba ila akashimdwa kunotice jambo dogo sana linaloenda kuharibu maisha ya mtoto.

Shure thing samtaimz unapiga kikonzi ukisindikizia na Kofi pale mtoto wa kiume anapo leta swaga kama hizi za kubenjua benjua viuno,mikono na Mikao isiyo eleweka

Hii mada ni chungu sana ila huu ndio ukweli
 
Juu ulisema single mothers,Kodi kuna mtu analipia ,nguo kuna mwingne,kula mwingne Yani awajiwezi kabisa kiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mnazungumzia single mother yupi jamani kuna wengine ni wajane anaamua kupambana na maisha na wanae huyu nae ni muhanga wa mnachojaribu kutuambia,badala ya kurusha rusha mawe hovyo mngezungumza na baadhi ya mashoga mngegundua kati ya mia hakuna hata mmoja alieathiriwa na single mother ila ni yaleyale ya kumuona mwanamke hana analoweza
 
Ingekuwa vema ukafanya utafiti Wa hao mashoga ikiwa wamekuwa hivyo kutokana na kupata malezi ya mama pekee au laa kisha ukaja na matokeo ya utafiti wako.

Binafsi nawafahamu vijana kadhaa ambao kwa sababu kadhaa wamekuwa hivyo na wamelelewa na wazazi wote wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wakike wanaolelewa na baba pekee huwaje?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suggest suluhu ya hiyo nadharia tafadhali.

Na kwanini hao wababa hawalei watoto wao ikiwa kuna hofu na tishio watoto watakuwa tofauti na asili yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika nini wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…