Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Single mother watabaki kuwa juu tu ungelelewa na single mother we mtoa mada usingekuja na hii thread

Hakuna mama anayetaka mtt wake aharibikiwe kama wapo basi ni wachache sana yani afanye mtt wake aweshoga wakati wao huwa wanafurahi sana kuwaona wakwe zao mm nimelelewa na single mother najua ni maisha gani nimekulia kuna umri fulani nilikuwa napewa mpaka hela ya kuongea 😂 alafu ndio atake mm niweshoga loh 😥
 
Nadhani hapa unaongelea wale wadada wa mjini kutwa nzima wako club au wanashinda saloon,hawana mpango.ila kumbuka suala la malezi ni aina ya mwanamke ulie nae.Mama ndio anasiamamia malezi ya watoto kwa 80%.Unaweza kuwepo kama baba na bado mtoto akapotea pia,achana na hizo mentality .kuna wanawake wanajielewa hata kama yuko single ila hawezi onesha mahusiano yake kimapenzi na mtu wake kwa watoto wake.
Hatukatai kuwa walezi wazuri wapo.. Ila tatzo walezi wabovu wamezidi idadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini mnapenda kutunga story zenu kichwani na kuwalaumu watu wasiohusika maana Sijawahi kuona single mama kampaka mwanae lip gloss, wanja au poda ili awe handsome. sio fair kabisa na hamjui ni ngumu kiasi gani kwao kulea watoto wa kiume na wengine huwa wakatili kabisaa kwa sababu hakuna fatherly figure around.
Upumbavu tu huu, mi najua watu kibao waliolelewa na single mama wapo straight, mfano mtu kama Fid Q, Kanumba, Diamond, Q chief, 50 cent, Diddy, Obama, Jayz, Kanye West etc wote hawa wamelelewa na mama zao, na wapo straight

Ushoga ni kitu inborn, mwanaume kama umezaliwa na viungo vyako vyote vinavyohusika kutoa homoni wakati wa balehe huwezi kumtamani mwanaume mwenzako, mtoto wa kiume akilelewa na mama yake kuna muda utafika tu mwenyewe ataona sio poa kukaa na mama

Mimi nimelelewa na wazazi wote wawili lakini malezi yote kanipa mama, mzee alikuwa busy sana, na huo ushoga sina
 
MUHIMU:MAADA HAIJALENGA SINGLE MAMA WOTE, NI BAADHI, SIO WOTE

Habari wadau, siku hizi kumekuwa na kundi kubwa la wanawake kwenda kuomba haki sawa ofisi za ustawi wa Jamii kuhusu kulea mtoto pale baba anapomtelekeza mama.

Zamani kabla ya hizi haki Mara nyingi mtoto alikuwa anaenda kuishi na baba yake au kuishi na ndugu wa baba au mama vijijini ambako mila na desturi zinazingatiwa mno

Sasa siku hizi mambo ya kutupiana mizigo kwa ndugu imekuwa ngumu maana kila moja anapambana na hali ya maisha yake maana kila kitu ni pesa kitu kinachopelekea watoto wengi kuishia kuishi na mama zao bila malezi ya baba.

Ghafla mtoto wa kiume wanaweza kuanza kuona kila kitu anachofanya mama yake ni sahihi kuanzia kuongea, kitembea na hata Nguo, Wa kumfundisha jinsi ya kuishi kama mwanaume anakuwa hayupo matokeo yake kidogo kidogo anaweza kuanza kupigwa mabusu na wavulana wenzake ye akaona sawa tu maana anamuona sana mama anavyopigwa busu na rafiki zake.


Pia wamama hawa wengi naona wanapenda sana watoto wao kwa nia nzuri ila inaweza kuwa mbaya kwa mtoto, unakuta mama anataka mtoto wake aonekane Hb unaanza kumpaka poda, make up, lip gloss na hata kusuka, hiki kitu kinaweza kumuweka mtoto matatizo ni maana anaweza kuanza kujaribiwa kidogo kidogo na wenzake.


Kadri miaka inavyoenda mambo yanachanganya na inakuwa ngumu sana kurudisha nyuma tabia zilizogeuka mazoea.

Kwa ushauri Wangu katika malezi mtoto wa kiume inabidi awe mazingira atayolelewa kwa umakini na baba ama ndugu wa kiume
Upumbavu tu huu, mi najua watu kibao waliolelewa na single mama wapo straight, mfano mtu kama Fid Q, Q chief, 50 cennt, Diddy, Obama, Jayz, Kanye West etc wote hawa wamelelewa na mama zao, na wapo straight

Ushoga ni kitu inborn, mwanaume kama umezaliwa na viungo vyako vyote vinavyohusika kutoa homoni wakati wa balehe huwezi kumtamani mwanaume mwenzako, mtoto wa kiume akilelewa na mama yake kuna muda utafika tu mwenyewe ataona sio poa kukaa na mama

Mimi nimelelewa na wazazi wote wawili lakini malezi yote kanipa mama, mzee alikuwa busy sana, na huo ushoga sina
Mtoa, maada kaanza kwa kusema SIKU HIZI.. sasa ww umeataja Fid Q na wengine.. Ni sawa na kusema hapo zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inaelekea unajifungia sana ndani na simu yako au hujichanganyi, Tembea uone, Watoto wadogo kabisa wa kiume wanawaiga hadi mama zao wnavyokata mauno, Baba akiwepo hawezi kuvumilia kuona mtoto wake wa kiume anakata kiuno
Tupe mifano ya waliolelewa na single mother wakawa mashoga, mimi nawajua wengi tu wapo kamili
mtoto mdogo ni kawaida kuwa karibu na mama yake
 
Machozi ya Simba,
Hayo ni maoni yako na kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, mimi binafsi naweza kuongezea hapo kidogo kuwa single mother wa huko Insta, Fb, Snapchat nk ndio umewatolea mfano na ndio muda mwingi unawaona

Huwezi niambia mmama ametoka huko Kibosho Kirima(kioso) kaja hapa mjini alafu amuite mwanae handsome, ampake poda na lipstick aache kumuhimiza kuhusu mambo muhimu ya maisha mfano kuzingatia muda, kujiamini na kuamini kwa kile anachokifanya, kusoma, kusali na mambo kibao yatakayo mjenga mwanae,

Watoto wanaolelewa na mama pekee ndio maranyingi huwa na sumu ya kutafuta maisha na mifano ipo mingi mno ambayo kila mtu anaijua hakuna hata yakuanza kumtaja Abdul Nasibu hapa mtoto wa mama dangote, au The late Kanumba,

Siku nyingine ukija na post kama hii utoe hata case5 za hao watoto machoko ambao ni product ya single mother ndio tukae tujadili









Sent using Jamii Forums mobile app
 
Johnny Sack, Thanks mkuu. Kuna misconceptions nyingi sana kuhusu homosexuality na mara nyingine wanalaumiwa watu wasiohusika. Mtu hajafanya research yoyote, anakaa room anafanya hypothesis zake then anaandika thread kama ndio conclusion
 
labda ni hawa single mother wa instagram na waliozaliwa 1990 huko,,, kuna single mother wanajielewa malezi yao tu kwata si kwata, jkt si jkt yaana hakieleweki. Malezi yanachangia makuzi ya watoto ni vile tu ataamua kutumia upande upi wa malezi.
 
Mtoa mada usitake kutuaminisha mashoga wengi wamelelewa na masingo maza.....tena baba anaweza asipate muda hata wa kujua mtoto amekula nini kutwa nzima, ameshindia wapi, amechezea wapi alipotoka shule, anarudi anakuta mtoto keshalala, matabia mengine anayachukua mtaani, usilete utani kwene malezi ya mtoto kwa singo mazaz tafazali
 
Mimi ni mfano hai,sio shoga wala sitokaa niwe shoga

ila tukija kwenye maswala ya urembo na usafi "mtoto wa kike akasome"

Hamna mtoto wa kike anaeweza kuta mataka taka ya dressing table yangu.

Mimi nachamba hata Asha boko akasome,Asha ngedere akija namflotisha

hii yote ni kulelewa pamoja na watoto wakike,yani kama sio kuokolewa kupelekwa

shule za BOYS tupu nahisi ningekuwa kitu ya ajabu,Maisha nayo ndio yakanitia ugumu

ila kulelewa na mama TU bila baba kwa mtoto wa kiume asee hapana,mleta mada upo sahihi.
Una bahati sana.
 
Single mother watabaki kuwa juu tu ungelelewa na single mother we mtoa mada usingekuja na hii thread

Hakuna mama anayetaka mtt wake aharibikiwe kama wapo basi ni wachache sana yani afanye mtt wake aweshoga wakati wao huwa wanafurahi sana kuwaona wakwe zao mm nimelelewa na single mother najua ni maisha gani nimekulia kuna umri fulani nilikuwa napewa mpaka hela ya kuongea 😂 alafu ndio atake mm niweshoga loh 😥
Huwa hawajui. Baba ni rahisi sana kufahamu mtoto anafanya upuuzi kuliko mama,. Mama anaweza kuwa mzuri kwe almost kila kitu ktk malezi zaidi ya baba ila akashimdwa kunotice jambo dogo sana linaloenda kuharibu maisha ya mtoto.
 
Usisahau hawa pia
1. waliolelewana babu na Bibi zao.
2. Mwanaume aliyetanguliwa na Dada zake Kama watatu hivi.
 
Msiwachoshe single mothers kwa matusi na tuhuma za kila aina!

Kwa hili la ushoga HAPANA.

Ninachofahamu akina mama wote (single or otherwise) wanapenda watoto wao wa kiume wawe shupavu na rijali kweli kweli.

Hakuna mwanamke anayetaka mtoto wake wa kiume awe shoga!

The irony is, mashoga wengi wanatokana na baba zao kuwa wakali na makatili. The gay kid will try to compensate the missing love from the people of his own kind!

Wale akina baba wanaodhani kuwa-treat watoto wao wa kiume kidikteta ndio kuwafanya marijali, ni kinyume chake. Mtoto atakuwa shoga tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom