February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
@Hammaz njoo ukemee..unaaibishwa huku...baadae watu watahisi ni wewe ndo uliandika hayaMimi ni mfano hai,sio shoga wala sitokaa niwe shoga
ila tukija kwenye maswala ya urembo na usafi "mtoto wa kike akasome"
Hamna mtoto wa kike anaeweza kuta mataka taka ya dressing table yangu.
Mimi nachamba hata Asha boko akasome,Asha ngedere akija namflotisha
hii yote ni kulelewa pamoja na watoto wakike,yani kama sio kuokolewa kupelekwa
shule za BOYS tupu nahisi ningekuwa kitu ya ajabu,Maisha nayo ndio yakanitia ugumu
ila kulelewa na mama TU bila baba kwa mtoto wa kiume asee hapana,mleta mada upo sahihi.