Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Mimi ni mfano hai,sio shoga wala sitokaa niwe shoga

ila tukija kwenye maswala ya urembo na usafi "mtoto wa kike akasome"

Hamna mtoto wa kike anaeweza kuta mataka taka ya dressing table yangu.

Mimi nachamba hata Asha boko akasome,Asha ngedere akija namflotisha

hii yote ni kulelewa pamoja na watoto wakike,yani kama sio kuokolewa kupelekwa

shule za BOYS tupu nahisi ningekuwa kitu ya ajabu,Maisha nayo ndio yakanitia ugumu

ila kulelewa na mama TU bila baba kwa mtoto wa kiume asee hapana,mleta mada upo sahihi.
@Hammaz njoo ukemee..unaaibishwa huku...baadae watu watahisi ni wewe ndo uliandika haya
 
Aisee!!
Mimi ni mfano hai,sio shoga wala sitokaa niwe shoga

ila tukija kwenye maswala ya urembo na usafi "mtoto wa kike akasome"

Hamna mtoto wa kike anaeweza kuta mataka taka ya dressing table yangu.

Mimi nachamba hata Asha boko akasome,Asha ngedere akija namflotisha

hii yote ni kulelewa pamoja na watoto wakike,yani kama sio kuokolewa kupelekwa

shule za BOYS tupu nahisi ningekuwa kitu ya ajabu,Maisha nayo ndio yakanitia ugumu

ila kulelewa na mama TU bila baba kwa mtoto wa kiume asee hapana,mleta mada upo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulelewa na single mama sio sababu ya moja kwa moja kwa mtoto kuwa shoga ikiwa single mama huyo ni mtu anaejielewa. Ila kwa hawa wamama wa kizazi kipya wanachangia kwa asilimia kubwa.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Nina dogo la kiume nikifika linaniangalia usoni sana likiona madevu na sura ilivyo ngumu kuliko ya mama yake linanipa vitasa vya uhakika kichwani shavuni aliishi hapo linaniuma kabisa. Nilikuwa najiuliza ni kwa nini nikapata jibu kihisia si mvutii kabisa hivyo anaishia kunidunda tu ili kupunguza msongo. Haha hahaaaa.

Fanya uchunguzi, huenda huyo mtoto si wako.
 
sijaona lip gloss au poda hapo zaidi ya picha moja ambayo mtoto kapiga pozi feminine kiasi. Mimi nimetoa experience yangu binafsi na ningeomba utafute hata picha mbili za watanzania waliowaremba watoto wao wa kiume maana sijawahi KUONA

Usiseme picha sema pozi na hizo pozi ni za kawaida kweli ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Johnny Sack,

Nakataa ushoga sio inborn mkuu.....sababu kubwa ni zile zinazotokana na mazingira yanayotuzunguka ikiweno itilafu kwenye malezi uliowataja hapa ni sample chache sana

Kifupi ni kwamba walizaliwa katika kipindi ambacho huu upuuzi wa masingle mother haukuwepo masingle mother wa zamani walijielewa ila now hawa washinda instagram ni pasua kichwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa nini mnapenda kutunga story zenu kichwani na kuwalaumu watu wasiohusika maana Sijawahi kuona single mama kampaka mwanae lip gloss, wanja au poda ili awe handsome. sio fair kabisa na hamjui ni ngumu kiasi gani kwao kulea watoto wa kiume na wengine huwa wakatili kabisaa kwa sababu hakuna fatherly figure around.
Husikwame...watoto wengi Waliohalibika ni single parent Hasa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mangatara,
Kuna dogo alimtia kitofa hawala wa mama yake akamzimisha jumla kwa mambo hayo hayo ya kutombnia kwenye nyumba ya babaake. Dogo alishawaonya wasifanyie home ila sijui ndio mapenzi yaliwalevya mwisho wa siku dogo akafanya kweli at 13yrs of age.

Ngoma kufika Juvenile dogo alishinda kesi kwa maelezo kuwa alikuwa anarudi toka mkesha wa mwaka mpya. Kundi la mbwa likatinga njiani ndio kutupa jiwe ili kuwatawanya kumbe lilimpiga mtu ila yeye hakujua akaingia kulala tu night. Watu wakazika ngoma ikawa imeishia hapo.

Wale mabaharia wenzangu tuwe makini kuna kufa kizembe. Mama tukazipigie makwetu!
 
Johnny Sack,

Nakataa ushoga sio inborn mkuu.....sababu kubwa ni zile zinazotokana na mazingira yanayotuzunguka ikiweno itilafu kwenye malezi uliowataja hapa ni sample chache sana

Kifupi ni kwamba walizaliwa katika kipindi ambacho huu upuuzi wa masingle mother haukuwepo masingle mother wa zamani walijielewa ila now hawa washinda instagram ni pasua kichwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna mmoja ni mtu mzima aliniambia aliharibiwa kitabia na baba yake, nilipomuuliza hayo yakitokea mama yake alikuwa wapi? Alikasirika sana na kunionya nisimhusishe mama yake na tabia yake, ilibidi niombe yaishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom