Kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi ni nzuri kwa afya ya akili

Kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi ni nzuri kwa afya ya akili

Kuna mambo mengi yanayoamua mwenza sahihi wa kuingia naye kwenye ndoa.

Sasa je umri kwako una uzito kiasi gani kulinganisha na mengine? Mengine kama elimu, dini, Nafasi ya kiuchumi, tabia zake, jamii iliyomzunguka n.k
 
Mwanamke anakua haraka ukioa uliemzidi mwaka mmoja, miwili au mnalingana umri akifika miaka 30 tu anaanza kuonekana mkubwa kushinda wewe, pia mwanamke anawahi kufika menopause kwaiyo ili mzeeke na muingine menopause katika uwiano sawa ni vyema ukaoa mke uliemzidi miaka 5-10 hivi.
 
Ufafanuzi mzuri sana
 
Naamini labda umri wako mdogo.
Mwanaume kamili inatakiwa uwe na familia, watu wanaokutazama, wanakutegemea,
Sasa wewe una miaka 40 unaishi geto, huna mke, huna address, huna heshima
Nina watoto wawili mkuu .
 
Afya ya akili Haina uhusiano na kuoa au kuolewa,

Pia mwanaume usioe mwanamke mkubwa na mwanamke usuolewe na mwanaume mdogo. Maisha ni mafupi sana hakikisha furaha Yako ni ya kwanza kuliko chochote
 
Back
Top Bottom