Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji maoni ya wadau
Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume
Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji maoni ya wadau
Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume
Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua kichwa
Mwanamke anayekuzidi umri nisumu ya nyokatena cobra maana yeye tayari akiini mwake atakuwa akijua kabisa kwamba anaishi na huyu mwanaume na siyo halali yake hivyo ataishi kwa malengo ya juu balaa atakuvuna ili hata mambo yanahalibika kashachuma vya kutosha.Hivyo wanawake wazee waende kwa wazee wenzao.