Unapata heshima, unaaminika na jamii,Nipe ulazima wa kuishi kinyumba kama mke na mme
😁😁😁😁 mbona vyote hivyo navipata mkuu?Unapata heshima, unaaminika na jamii,
Sasa nani amuamini msela tu.
Unakuwa na mtu yupo Kwa ajili yako hata ukichelewa utakuta amenuna ataku monitor kiasi Fulani,
Zaidi sana uhakika wa k
😅😅Ya mke wa ndani ni tamu mno😁😁😁😁 mbona vyote hivyo navipata mkuu?
Kuletewa ukimwi ni kugusa tu😁😅😅Ya mke wa ndani ni tamu mno
Hawa wamepishana nini?
Kuwa mkubwa kwenye mahusiano ni kulea na kuwa mdogo kwenye mahusiano ni kulelewa.Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji maoni ya wadau
Je kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume
Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua kichwa
KabisaKataa ndoa, ndoa ni utapeli.....
Ndio maana lazima u shake well before use ubongo.Ukikaa kikuvurugika unavurugwa kweli
Iko jambo ni kimvua na baridi kiasiNdio maana lazima u shake well before use ubongo.
How are you?
Mishangazi mitamu kwa kuyasukumia moto natamani nipate mshamgazi kama faizaKwa hiyo mleta uzi Faiza Foxy akisema umuoe utakubali..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kukakaa bila kuoa kabisa, kutakupa afya bora zaidi ya akili kuliko kuoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee kuwa na adabu kwa wangoni, mxxxxiiiiieeeewDemu wa Songea huyo...Wangoni sura hazijifichi
Coca mie nakupenda babygirl[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji maoni ya wadau
Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume
Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua
Mwanamke anayekuzidi umri nisumu ya nyokatena cobra maana yeye tayari akiini mwake atakuwa akijua kabisa kwamba anaishi na huyu mwanaume na siyo halali yake hivyo ataishi kwa malengo ya juu balaa atakuvuna ili hata mambo yanahalibika kashachuma vya kutosha.Hivyo wanawake wazee waende kwa wazee wenzao.Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji maoni ya wadau
Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume
Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua kichwa