Kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi ni nzuri kwa afya ya akili

Shindwaaaa sijakata tamaa kama wewe pamoja na age goo yangu, najua unachowinda kwa hao vibabu manka.
Hellow Calculator
Age goo yako wapi wewe tunalingana tu..
vijana 🤭 siwindi mafao , staki tu kudungwa sana na , sihimili mikikimikiki ya vjan* 😖
 
Vija** akisimama kwenye kazi kazi, hahahaa unatoka hapo hujiwezi wallah na mi mwili huu hauwezi himili ndo maana nawakubali waze* ila ndo hivyo teina
🤣🤣🤣🤣 haya ni matatizo ya akili
 
Kwa mtoto wa kiume usijeoa mwanamke ambaye mnalingana sababu hapo ndani hakutakuwa na kusikilizana na mbaya zaidi atakudharau maana hatakupa heshima yako kama mume kiongozi.

Upande mwingine usijekubali kuanza ndoa na mwanamke aliyekuzidi umri hii ni hatari bora hata yule mnafanana umri. Mwanamke akiwa mkubwa kwako then unarisk kutokuwa na maamuzi kabisa sababu huyo ni dada yako, mama yako, shangazi yako, na atakuchukulia ni bwana mdogo so hata ufanyaje yeye kwake wewe utakuwa ni mtoto mdogo tu. Kuna muda atakusikiliza kufurahisha tu ila most of the time atakupuuza, wanawake na dharau ni maji na samaki.

Mwanamke mzuri ni yuke ambaye umemzidi kuanzia miaka 3 hadi 10 usizidi hapo. Huyu ni rahisi kumuongoza na kumpa mchoro wa maisha na hata kama ujui ile yeye kukuaminia itakupa nguvu ya kumuongoza.
 
Dada kaolewe na mtu unayempenda. Umri ni namba tu ila upendo ni kila kitu.
Upendo una nafasi yake ila unakuwa na nguvu pale mkiwa na utulivu mambo yamekaa fresh ila mambo yakiwa kombo hakuna kitu mtafanya.
 


Hivi una akili kuongelea mambo ya afya ya akili mitandaoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…