Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Disclaimer: Haya si mawazo yangu, nimecopy na kupaste.
ROHO WA NENO ANASEMA; Watumishi Wote Wanaozuia Watu Wasioe Na Kuolewa, Wanafundisha Mafundisho Ya MASHETANI... Na Hawa Hapa Pichani๐๐ Ni Baadhi Yao๐ ๐
#Wanawaaminisha Watu Kuoa Kwa Mwanamume Ni Mke Mmoja Tu. Na Kuwaambia Watu Ndoa Za MITALA{Wake Wengi} Ni Dhambi, Kitu Ambacho Biblia Haijawahi Kukataza Mwanaume Akiwa Na Wake Wengi Ni Dhambi...
Kiufupi Hakuna Andiko Kama Hilo Kwenye Biblia. Leo Makanisani Dada Zetu Wanashindwa Kuolewa Ndoa Za Mitala Wanabaki Kuwa Wazinzi Kwa Sababu Ya Mafundisho Potofu Ya Watumishi Wanaojidhania Kuwa Wanamtumikia Mungu, Kumbe Wamepotea..!!
[ 1Timotheo 4:1-3 ].
[1]Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya MASHETANI
[2]kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
[3]wakiwazuia watu WASIOE, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli...
#>ZINGATIA HILI; Wakristo Wengi Hawajui Kule Kulikozungumziwa Wakiwazui Watu Wasioe Ni Kwa Namna Gani? Bali Wanadhani Hilo Andiko Wameandikiwa DINI YA KATOLIKI, Inaowazuia Mapadre Wasioe Wala Ma Sister Wasiolewe...
Kumbe Hawajui Hata Wao Wanalitimiza Andiko Hilo Kwa Kumfunga Mwanaume Asioe Mke Zaidi Ya Mmoja. Kumbuka Sheria Ya Ndoa Inamfunga Tu Mwanamke Hawezi Kuwa Na Wanaume Wawili, Maana Ataitwa Mzinzi. Ila Kwa Mwanaume Hajafungwa Kuoa Mke Zaidi Ya Mmoja, Tunaona Mfano Hata Kwa Baba Zetu Mitume Na Manabii... Paulo Alikuta Jambo Hili Kwenye Kanisa La Koritho, Wakristo Wakiwa Na Mke Zaidi Ya Mmoja Na Hakuwahi Kuwaambia Ni Dhambi, Au Ni Makosa Kuwa Na Wake Wengi...
Rum 7;1-3, 1Kor 7;39-40, Kut 21;10 Na Hata Yesu Kristo Mwenyewe Alisema Math 5;31-32... Anayemfanya Mwenzake Kuwa Mzinzi Ni Mwanaume, Sio Mwanamke. Mwanaume Anaweza Kuoa Tena Na Tena, Ila Mwanamke Hawezi Kuolewa Mara Mbili... Over ๐ช๐คธโโ๏ธ๐๐ด๐๐๐