Naunga mkonyo hojaWatu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga
Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya kwasababu huondoa kinga muhimu kwenye ngozi na kusababisha maradhi katika mwili
Kama hakuna ulazima wa kuoga usijilazimishe kuoga, japo mtu oga walau mara 1 kwa siku ila utashangaa mtu anaoga zaidi ya mara 4 ili iweje?
Utashangaa mtu yupo sehemu za baridi kali kama Lushoto, Moshi, Makete au Njombe ati nae anaoga mara kadhaa kwa siku na anaona ufahali
Tujiepushe kuoga ovyo ili tulinde afya ya ngozi na mwili kwa ujumla
Acha kutumezesha falsafa zako,Unaoga kila saa kwani una Fistula
kutokuoga ni kero kwa wengine, harufu kali na nzito ni hatari kwa afya za wanaooga. ni vizuri asie oga akakaa porini au kuishi kipekeyake kuliko kutangamana na wanaooga kuepusha usumbufu na uchafu wenye madhara kwa wengine πWatu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga
Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya kwasababu huondoa kinga muhimu kwenye ngozi na kusababisha maradhi katika mwili
Kama hakuna ulazima wa kuoga usijilazimishe kuoga, japo mtu oga walau mara 1 kwa siku ila utashangaa mtu anaoga zaidi ya mara 4 ili iweje?
Utashangaa mtu yupo sehemu za baridi kali kama Lushoto, Moshi, Makete au Njombe ati nae anaoga mara kadhaa kwa siku na anaona ufahali
Tujiepushe kuoga ovyo ili tulinde afya ya ngozi na mwili kwa ujumla
Aisee we jamaa mtu wa ajabu pilikapilika za kariakoo ukae wiki ukweli watu watakukimbiaFresh tu kukata week bila kuoga ni jambo la kawaida
Ukishindwa sana oga mara moja kwa siku sio uoge zaidi ya mara mojakutokuoga ni kero kwa wengine, harufu kali na nzito ni hatari kwa afya za wanaooga. ni vizuri asie oga akakaa porini au kuishi kipekeyake kuliko kutangamana na wanaooga kuepusha usumbufu na uchafu wenye madhara kwa wengine π
Mleta mada atakuwa siyo mpenzi wa kuogakutokuoga ni kero kwa wengine, harufu kali na nzito ni hatari kwa afya za wanaooga. ni vizuri asie oga akakaa porini au kuishi kipekeyake kuliko kutangamana na wanaooga kuepusha usumbufu na uchafu wenye madhara kwa wengine π