Kuoga hakuna faida yoyote kiafya

Kuoga hakuna faida yoyote kiafya

Ndo maana nilivyokua mdogo naogeshwa nilikua mweupe ila tangu nianze kuoga mwenyewe nakaribia kufanana na Sadio Mane
 
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga

Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya kwasababu huondoa kinga muhimu kwenye ngozi na kusababisha maradhi katika mwili

Kama hakuna ulazima wa kuoga usijilazimishe kuoga, japo mtu oga walau mara 1 kwa siku ila utashangaa mtu anaoga zaidi ya mara 4 ili iweje?

Utashangaa mtu yupo sehemu za baridi kali kama Lushoto, Moshi, Makete au Njombe ati nae anaoga mara kadhaa kwa siku na anaona ufahali

Tujiepushe kuoga ovyo ili tulinde afya ya ngozi na mwili kwa ujumla
Muangalie sana huko mnakokwenda kutafuta utajiri!
 
Zamani mtoto mwenzetu yaani mtoto wa jirani alikuwa mchafu haswa. Sasa akawa mrefu kutuzidi sisi ingawa nilimpiga gape 3yrs tukasema kumbe usipooga unarefuka haraka. Daaaaahh kumbe ni gene tu
 
Back
Top Bottom